Maana yake huwa ni nini?

Maana yake huwa ni nini?

Daah hii kweli plan B
ahahaha maisha haya mara unasikia ameongezeka mwenzio sasa bora nifanyie wanangu mapema sanaa
mwanamme anaweza kukubadilikia dakika sifuri sasa lazima uji sort mapema else unaweza ukapata ugonjwa wa moyo
lakini ukiwa umejitayarisha ,unamwambia i was expecting this and am ready for it...atajiuliza maswali majibu hana..
 
Ni upumbavu uliopitiliza tu, hii mara nyingi nimekuwa naiona kwa wadada wanaojiita wazuri. Hataki kuambiwa kakosea, hataki kupewa maelekezo sahihi, kila kitu anakijua, na kila wakati yupo sahihi. Mara zote wamekuwa wakiishia kubaya
 
ahahaha maisha haya mara unasikia ameongezeka mwenzio sasa bora nifanyie wanangu mapema sanaa
mwanamme anaweza kukubadilikia dakika sifuri sasa lazima uji sort mapema else unaweza ukapata ugonjwa wa moyo
lakini ukiwa umejitayarisha ,unamwambia i was expecting this and am ready for it...atajiuliza maswali majibu hana..
Na unakua unaishi stress free.....
 
NIMPENDENANI, nimekuelewa hadi umenikumbusha machungu. Wakati nasoma hii comment yako, tena kwa muda mrefu sana, ni kama nilikuwa namsikia yule mwanamke niliyegombana naye... nina miaka mitatu sasa sina uhusiano wowote wa kueleweka ni kama aina fulani ya karma.

Kuna ile debate kuwa binadamu anabadilika au habadiliki, I hope utakuwa umeshaisikia, mimi natarajia kuwa better kwenye hiyo next relationship. Kwa kifupi nimejifunza the hard way kuheshimu wanawake

Pole binadamu hubadilishwa na mwendo wa mmoja kati yeo mfano,sikua ninamawazo kama kuna siku my Hubby ataniumiza moyo kwa alivyokua ananipendaa yani ananipenda mpaka najua na watu wangu wa karibu wanajua
alikuja kunibadilikia baada mtoto wa mdogo wake kuiba few milions za baba yake na nikasingiziwa mimi,
kilichoniuma nikuona mume wangu amabe anatakiwa asimame na mimi ndio alikua na ndugu zake na mkwe
ambae ni mama yake mzazi ndio alie simama na mimi akasema jamani huyu mtoto hawezi kuiba hiyo pesa
niko tayari kutoa maisha yangu kuyaweka rahani ikiwa kuna ukweli huyu mtoto wawatu kachukua hii pesa
NILIUMIA SANAAA mpaka sasa jeraha moyoni lipo,kilichoniumiza sio kuambiwa nimeiba ila mume wangu
nnae dhani namjua ananipenda kumbe nilikua naishi na ADUI na sijijui maskini,ukweli ulipojulikana eti ndio
am sorry mke wangu yani anachukulia so simple,na sababau nimerudi kwake ni moja tuu,nampenda sana mkwe wangu
sana yeye ndio kaniomba nirudi lakini nimerudi na akili mpya na ndio jina la NIMPENDENANI likatoka hapo,kuanzia hapo
simwambia nini nafanya its just me na ndugu zangu yeye anaongeza mapenzi lakini mimi ameniathiri Sanaa,na anajaribu kufanya juu chini kunirejesha kama mwanzo lakini haiwezekani tena,sasa najipanga na maisha sababau anything is possible
sijiachii kama mwanzo eti mume wangu yupo i have nothing to loose,apana sasa nimejipanga
Emotionally,Mentally.... anyway nimengi inshallah mwenyezi mungu anipe subra na uhai niweze kuhimili mtihani wowote
utakao kuja mbele yangu...
 
Dah pole sana......
images (60).jpg
 
Hii ni asili ya uumbaji na ipo hata kwenye baibo, Ukisoma Mwanzo 3:8-13, utagundua kati ya adam na Eva, hakuna aliyetoa jibu straight ya kile alichoulizwa na Mungu.

"8 Jioni, wakati wa kupunga upepo, huyo mwanamume na mkewe wakasikia hatua za Mwenyezi-Mungu akitembea bustanini, nao wakajificha kati ya miti ya bustani, Mwenyezi-Mungu asipate kuwaona.9Lakini Mwenyezi-Mungu akamwita huyo mwanamume, “Uko wapi?”10Naye akamjibu, “Nimesikia hatua zako bustanini, nikaogopa na kujificha, maana nilikuwa uchi.” 11Mwenyezi-Mungu akamwuliza, “Nani aliyekuambia kwamba uko uchi? Je, umekula tunda la mti nililokuamuru usile?” 12Huyo mwanamume akajibu, “Mwanamke uliyenipa akae pamoja nami ndiye aliyenipa tunda la mti huo, nami nikala.”
13Hapo Mwenyezi-Mungu akamwuliza huyo mwanamke, “Umefanya nini wewe?” Mwanamke akamjibu, “Nyoka alinidanganya, nami nikala.”
 
Pole binadamu hubadilishwa na mwendo wa mmoja kati yeo mfano,sikua ninamawazo kama kuna siku my Hubby ataniumiza moyo kwa alivyokua ananipendaa yani ananipenda mpaka najua na watu wangu wa karibu wanajua
alikuja kunibadilikia baada mtoto wa mdogo wake kuiba few milions za baba yake na nikasingiziwa mimi,
kilichoniuma nikuona mume wangu amabe anatakiwa asimame na mimi ndio alikua na ndugu zake na mkwe
ambae ni mama yake mzazi ndio alie simama na mimi akasema jamani huyu mtoto hawezi kuiba hiyo pesa
niko tayari kutoa maisha yangu kuyaweka rahani ikiwa kuna ukweli huyu mtoto wawatu kachukua hii pesa
NILIUMIA SANAAA mpaka sasa jeraha moyoni lipo,kilichoniumiza sio kuambiwa nimeiba ila mume wangu
nnae dhani namjua ananipenda kumbe nilikua naishi na ADUI na sijijui maskini,ukweli ulipojulikana eti ndio
am sorry mke wangu yani anachukulia so simple,na sababau nimerudi kwake ni moja tuu,nampenda sana mkwe wangu
sana yeye ndio kaniomba nirudi lakini nimerudi na akili mpya na ndio jina la NIMPENDENANI likatoka hapo,kuanzia hapo
simwambia nini nafanya its just me na ndugu zangu yeye anaongeza mapenzi lakini mimi ameniathiri Sanaa,na anajaribu kufanya juu chini kunirejesha kama mwanzo lakini haiwezekani tena,sasa najipanga na maisha sababau anything is possible
sijiachii kama mwanzo eti mume wangu yupo i have nothing to loose,apana sasa nimejipanga
Emotionally,Mentally.... anyway nimengi inshallah mwenyezi mungu anipe subra na uhai niweze kuhimili mtihani wowote
utakao kuja mbele yangu...

Ndio maana wanasema ukubwa dawa maana mtu unakuwa umepitia mengi. Sasa hii ya mtu wako wa karibu kuonyesha hakuamini kwa kweli inauma, I have been there with one of my siblings, yaliisha ila nilimuahidi kuwa yale mambo tuliyofanyiana nitayaweka somewhere kichwani kwangu. Imagine mdogo wako uliyefikiri unapendana naye sana halafu siku mliyokwaruzana kidogo tu anakushambulia kuhusu tatizo lako ambalo lilikuumiza mno! Nilishangaa

Inaonekana watu tunaopendana nao sana ndio watu wanaoweza kutuumiza vibaya sana na bahati mbaya hakuna solution kuhusu hilo. Ni kusali tu. Halafu nimecheka umesema kuhusu hiyo ID yako maana nilikuwa nafikiria kwanini unajiuliza umpende nani, considering your status. yani pamoja na kusali sana sisi ni binadamu tu kakinyongo kanabaki kiaina
 
Mie nimejaribu sanaaa kusahau ila ipo bado,na good thing nilimwambia alivyokuja home kuniomba Radhi nirudi rule no1 sitaki kuona hata ndugu yako mmoja kwangu waje wasalimie waendezao kuekewa kambi sitaki sababau kheir yangu
ndio imeniponza,2 nyumba zote tulizo kua nazo waandikiwe watoto na ile tunayo ishi aandika jina langu,na silazimishi
choice ni yako ukiweza sawa huwezi Talaka yangu lete hata kwa sms am okay with it....na hua ananijua nakua mjinga lakini nikisema basi ni basi na anajua kua watoto wangu hawanishindi,kamleta mamake aje amuombe nikamwambia Mama nakupenda sana lakini ili jeraha langu lipate japo afadhali basi afanye hivyo else tuishie hapa,na trust me sikuchukuii...
 
Back
Top Bottom