Maana yake huwa ni nini?

Maana yake huwa ni nini?

umetulia kabisa.. nmeona nlichotegemea 🙂!!!

Msamaha kawaida yangu, ila kwa kitu nlichokosea kweli... sio maneno ya kuambiwa saloon
There you go, me nikikosea kwa kweli naomba msamaha kama naomba kazi vile. Ila kama sijakosea basi kuomba msamaha wewe sahau , afu msamaha wa kugeuziwa kesi thubutuuu (sijui ni huu unyaki teh)
 
kwa mwanaume hawezi kukuomba msamaha papo hapo itachukua muda kidogo kuomba msamaha tena atafanya kwa vitendo zaid kuliko maneno lakini kwa wanawake mfumo dume utamkandamiza labda jamaa uwe unamnogesha sana

hajaniko....za

‘look for the best one according to your need’ kwanza lazima ujue unataka kumbia mbio ndefu au fupi pili zile kasi zaid kama akina bolt au zile za kuchosha nyonga za akina lee yung hahahahaha lakini umefanya siku yangu ianze vizuri
 
There you go, me nikikosea kwa kweli naomba msamaha kama naomba kazi vile. Ila kama sijakosea basi kuomba msamaha wewe sahau , afu msamaha wa kugeuziwa kesi thubutuuu (sijui ni huu unyaki teh)

Hahha uwe unajishusha tu banah... ndo mmeumbiwa hivyo ujue, huo unyaki unauweka pemben kwenye mahusiano!!!

Tusije rudishiwa mahari nyumbani 🙂 🙂
 
Hahha uwe unajishusha tu banah... ndo mmeumbiwa hivyo ujue, huo unyaki unauweka pemben kwenye mahusiano!!!

Tusije rudishiwa mahari nyumbani 🙂 🙂
Ntajishusha kwa kunyamaza kimya, yani napotezea tu, ila sitosema neno "samahani".

Wee hata usijali, mahari hairudishwi teh. Ni amani tu, si unajua kila mtu Mungu anampa wa kufanana naye?
 
Ntajishusha kwa kunyamaza kimya, yani napotezea tu, ila sitosema neno "samahani".

Wee hata usijali, mahari hairudishwi teh. Ni amani tu, si unajua kila mtu Mungu anampa wa kufanana naye?

Good morning....

Wewe ma mwenzi wako mmegombana, ila mkosaji ni wewe hapo assume umefumwa na mawasiliano ya mchepuko, mwenzio anaamua kukuuliza/kukuambia kistaarabu kabisa tena kwa sweet language "mpenzi ni hivi ni hivi nimesikia, nimeona unatembea na fulani......

Wewe mkosaji sasa uvimbe, unune, uje juu, kijasho kikutoke yani unafura kama nyoka ilhali umekosea na ni kweli umekosea. Muda huo mwenzio hata hana hasira na wewe anakusemesha vizuri mkosaji umevimba vishavu kama viandazi yani unataka hadi uombwe msamaha.

Maana yake huwa ni nini jamani? Kuelewa akili za binadamu ni ngumu, Make hii ni zaidi ya defensive mechanism
. Unakua hutaki kuulizwa? Sasa hii inawezekana vipi ukose usiulizwe? Afu mbona kama kuulizwa inaleta unafuu flani kuliko kunyamaziwa?
. Unataka kuombwa msamaha? Kwa kipi sasa ulichokosewa?

Hakika huu ni ujinga first class japo maana yake huwa siijui, nishaiona mara nyingi.

Nb : 1:kufumwa ni mfano tu, chukulia kosa lolote lile ilmradi kosa
2: hii inahusu jinsia zote mwanaume na mwanamke
Umesema kweli....na Hiyo inatokea Mara nyingi tuu....kwangu siwezi kukununia ila hii ya kukutafutia kesi nkugeuzie kibao IPO....

Yani kukubali na kuomba msamaha hili jambo nafsi imeshashindwaa kabisaa...siwezi

Ila kumoyo nitakuwa najutia inkase nimekosea....na ku work out for it ili isijirudie....
 
Yani wewe na mimi "hatufaani" kabisa. Ukikosea afu kuomba msamaha huwezi, basi wewe nyamaza tu kimya. Kunigeuzia kesi, utaniona tu mchungu hakyanani teh
 
Law of nature....
Swala LA kuomba msamamaha....! Hapana. Kujishusha hapana.....

Nitakuambia nimekuelewa....then let life go on
Watu hufumwa red handed na bhado mtiti unakuwa mkubwa hadi msamaha unaombwa na mwenye haki ambaye kimsingi anakuwa mke wa jamaa!
 
Yani wewe na mimi "hatufaani" kabisa. Ukikosea afu kuomba msamaha huwezi, basi wewe nyamaza tu kimya. Kunigeuzia kesi, utaniona tu mchungu hakyanani teh
Na sijui kwanini hivi dah....
Nlichokuja kuelewa Hamna raha kwa mwanamke kama akiombwa msamaha na mwanaume...!
Sijui kwanini....

Anyway hivi Hamna namba we can solve bila kuomba msamaha????
 
Na sijui kwanini hivi dah....
Nlichokuja kuelewa Hamna raha kwa mwanamke kama akiombwa msamaha na mwanaume...!
Sijui kwanini....

Anyway hivi Hamna namba we can solve bila kuomba msamaha????
Yani me nina moyo wa kusamehe kama nilivyonao wa kuomba msamaha pale napokosea. Naona kwa wanaume wengi ndo kuna hilo tatizo la kuomba msamaha, ingawa kuna wanawake wasioomba msamaha pia hata iweje. Kila mtu ana style yake ya kuupokea msamaha, mwingine usiongee hata, rudi na zawadi jichekeshe basi yameisha. Kwa HS hata usihangaike na zawadi maana hazitopokelewa hadi useme "samahani". Kwangu msamaha is "PRICELESS", usijaribu kuni-bribe teh. Ila better unyamaze tu kimya, kama unaona ngumu kuomba msamaha
 
Aliyekwambia mwanaume wa kiafrica anaomba msamaha hadharani nani???

Iko hivi atakuwa baba mjinga na mpuuzi kuomba msamaha kwa maneno kama haya;

Sahamani mke wangu nisamehe.

Sitarudia tena nakuahidi.

Nimekosa nisamehe.

African baba never give apologize on the spot, kidume ukiambiwa lazima kwanza ufule huku ukijua kabisa umekosea afu unapiga ubuyu hakuna kusema; badae sana unaanzisha vijizawadi na maneno fulani kumjenga mkeo huku ukijiandaa kuacha hiyo tabia kama mbaya.

Nimegundua wanawake wengi mnashindwa ndoa kwa mambo madogo tuu; mwanaume wa kiafrica haombi msamaha hapo hapo na kwa maneno tu bila kijizawadi.

Mkitaka hizo makitu kaolewe na mzungu sisi kwetu mfumo dume ndiyo utamu wa ndoa yenyewe na unamfanya mke anajiona yuko secure..!
Mkuu.... Hii ya kutoomba msamaha ni asili nadhani....
Naturally tuu inakuwa vigumu....
 
Mkuu Evelyn Salt kama ni kombora basi hili limegonga pentagon, hii ndio hasa michezo yangu lakini kwa nini upekue simu yangu at the first place?!!! Hahahahah najua its unfair but hamna namna ntakumaindi tu maana kuwa mpole haijawahi kusaidia.
 
Huku si ndo tunapractice sana mfumo dume. Ujue jamii zetu ziwalea wanaume wajione kama wao always ni "VICTORS". Unfortunately wamebaki kuwa "VICTIMS", coz no matter what wameshaambiwa wao ni superior kuliko sisi. Ndo maana unaona mtu kuomba msamaha anaona sio uanaume ila kufanya makosa ndo uanaume kamili. EPIC FAIL
Ngoja nikuulize kitu. Kwani wakati unapresent kosa unataka MTU ajirekebishe au unataka msamaha??
Kasome post #52
 
Ngoja nikuulize kitu. Kwani wakati unapresent kosa unataka MTU ajirekebishe au unataka msamaha??
Hahaha yote if possible. Inawezekana nikawa nataka urekebishike au unipe maelezo ilikuwaje yaliyotokea yakatokea, au Nimesikia kitu so nataka wewe ndo unipe proof kama ni kweli or sio. (Most of times nikikuuliza kitu ujue proof zote ninazo, so don't lie teh). Sema kwa uzi huu tunaongelea pale ambapo unaongea na mtu afu kesi inakugeukia. Ndo maana Nikasema bora mtu anyamaze kama hawezi kuomba msamaha. Nta-assume maneno yamekuingia
 
Umegeneralize mambo naomba kukurekebisha....
1: hii sio ya mwanaume tu, hata wanawake wa hivi wapo.... Haya assume ni dem wako so wewe
2: kufumwa sio lazma simu ishikwe technology imekua sana
Last nimesema assume so kosa sio kufumwa tu, hebu chukulia kosa lolote

Karibu
Kama umenuiona vile, mamaa kachungulia nimelala kachukua cm yangu kaanza udukuzi, hamaaadi!! sms za 'thanks for giving' halafu nilikuwa sijazifuta. Kaja juu, mie nimeshtukizwa ili bidii nikomae kwa pointless eti 'kwa nini umeshika simu yangu???' ukome kushika simu yangu. rohoni najua fika nimekosa lkn sijaomba msamaha. Nilichokifanya ni ku 'delete' uhusiano na huyo dem tu si kuomba msamaha. Msamaha akuombe nani? lo!
 
Back
Top Bottom