Hivi kina dada mnapotongozwa huu msemo mnaoutoa,mnaufikiria kweli? Na maana yake ni nini?

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,935
22,919
Unakuta dada unamtongoza then anakwambia sawa hamna shida subiri nikufikirie ntakupa jibu lako,Mwanaume unasubiri bila tatizo ukisubiri jibu

Mkikutana tena unamuuliza vipi mama? Anakujibu bado subiri ntakujibu tu kwani una haraka gani? Basi kidume unavuta subira tu

Mwisho wa siku anakwambia ngojea tufahamiane vizuri kisha ntakupa tu jibu si unajua mtu huwezi kukurupuka?

"ngojea tufahamiane kwanza" haka kamsemo huwa mnaanishaga nini? yani utamfahamuje mwanaume tabia zake in and out bila wewe kuwa mpenzi wake?

Yani we mdada sio mpz wangu halafu unataka unifahamu in and out hivi inakuja kweli hiyo akilini mwenu? au huo ufahamu mna maanishaga upi?

Mimi ki ukweli mdada ukitaka unifahamu nnje ndani,nikubalie kwanza ndio ntakupa ruhusa ya kunifahamu..

sio ki dada JIBU hakajakupa halafu kanataka uanze kukapigia simu usiku,ukajali ukahudumie hv ndio ufahamu huo mnao uongeleaga?

Maana mimi kama sio mpz wangu siwezi jishughulisha na wewe,ntabaki pending (please wait) hadi utakapo niambia YES ur request ACCEPTED

ila swali langu kwenu ni Ule muda mnaotuambiaga "ngoja tufahamiane kwanza" ni muda gani?

Ule muda mnaotuambiaga "ngojea nikufkirie" huwa mnaendaga kufkiria nini huko mnapoenda?

#twendeni #taratibu
 
Huo wakati wa subiri nikufikirie huwa tunawaangalia na kuanza kuwafuatilia.
Maongezi yako, mavazi yako, kazi yako na kama ni mtu wa kujali.
sasa mi naanzaje kukujali mtu sio mpenzi wangu? A u huko kujali mnako kuongelea ni kupi?

Maongezi sawa,Mavazi sawa ila hapo kwenye kazi napo pana utata Yani unataka ugundue nini kwenye kazi yangu?
 
sasa mi naanzaje kukujali mtu sio mpenzi wangu? A u huko kujali mnako kuongelea ni kupi?

Maongezi sawa,Mavazi sawa ila hapo kwenye kazi napo pana utata Yani unataka ugundue nini kwenye kazi yangu?
Nikikuambia nakufikiria inamaanisha inabidi uwe karibu yangu ukiendelea kunishawishi.
Uwe rafiki yangu na wenzako sasa hapo wanaanzaga kujali.
Akitoka kazini anapiga simu "nikuletee nini mama" usiku mwema, umeamkaje, umekula? Vitu kama hivyo vinapelekea jibu kuwa nzuri.
Sasa wewe ambiwa utafikiriwa endelea na Mishe zako uone kama utaambulia kitu.
 
Nikikuambia nakufikiria inamaanisha inabidi uwe karibu yangu ukiendelea kunishawishi.
Uwe rafiki yangu na wenzako sasa hapo wanaanzaga kujali.
Akitoka kazini anapiga simu "nikuletee nini mama" usiku mwema, umeamkaje, umekula? Vitu kama hivyo vinapelekea jibu kuwa nzuri.
Sasa wewe ambiwa utafikiriwa endelea na Mishe zako uone kama utaambulia kitu.
kwa maana nyingine nikiambiwa nafikiriwa ni sawa na kuambiwa "Nimekubaliwa"? au sio hannah...Usje nifanya nianze kukujali,kukupa utakacho halafu mwisho wa siku uniambie "nina mpenzi wangu" aseee utanlipa vocha zangu na muda wangu.
 
Mbona siku hizi mambo yamebadilika sana chief, hakunaga tena mambo ya kupeana muda wa kufikiri jibu la kupewa,siku hizi mambo yamekua marahisi kidogo beba zawadi zawadi tu utapata majibu on spot
ah mkuuu unataka niambia ukienda na vizawadi anakupa jibu sku hyo hyo? Hujakutana na watu ka kina joanah ww mkuu
 
Kufikiriwa ni kama kukubaliwa tuu.
Unatakiwa uanze Ku behave ki husband material tuu.
hapo sasa nimekupata pata...Nikiambiwa nafikiriwa saivi najua mambo shwariiiiii....ila mbona nilishawahi kujitoa akili hivypo kwa mdada mmoja hivi..Nikawa namjali natimiza kila kitu..Mwezi,miezi mara mwaka ukapta Sijapew jibu,kwakua nilishajiongeza tangia mwanzo mi nkajua huyu tayari ni wangu..Nilipogundua huyu sio wangu ni ile siku nataka mchezo si ndio akaniambia "ujue bado sisi sio wapenzi" Ebu imagine hapo hannah kama yule dada alikua hantafutiii nim bake ni nini eti?
 
Back
Top Bottom