mgangawaukoo
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 2,183
- 2,394
Kuna mambo hutakiwi kuuliza hata Kama umeyajua!
Ha ha ha ha ha hii kibokoKuna mambo hutakiwi kuuliza hata Kama umeyajua!
Hata my bro anatabia hii,akifumwa anakua mkali,kwanini umepekura cm yangu,ivi wewe mwanamke umefunzwaje kwenuTeh hiyo ni hata ukilia fimbo unazo
Teh ha ha ha sijajifanya but ipo hivo atleast kwa mwanamke waweza jua, mara nyingi kama mwanamke anapendwa sana ndo wanakuaga na tabia za hivi. Akikosea ananuna yeyehapa Evelyn salt hata ujifanye unaongelea jinsia zote si huku tunajua ni wanaume wenye tabia hizi...ovyo kabisa mijanaume ya hivi.
na wanawake ndo kuwalea lea halafu baadae kujitia kufunda wenzao wavumilie hii first class stupid.
hapa first class stupid ni both huyo mwanaume na huyo mwanamke asiyeelewa kuwa hathaminiwi.
Sijakuelewa.....hahahahhaaa,,, hata kama red handed ...hiyo ni hali ya kutaka kuhalalisha uharibifu/uhuni/au tabia zako,,,,ili aliefanyiwa ajue ndo zako.........
hahaaaa ndi....ndi....ndiHawajaniko....za
sio kwamba nimegeneralize ila nimeongea hali halisiUmegeneralize mambo naomba kukurekebisha....
1: hii sio ya mwanaume tu, hata wanawake wa hivi wapo.... Haya assume ni dem wako so wewe
2: kufumwa sio lazma simu ishikwe technology imekua sana
Last nimesema assume so kosa sio kufumwa tu, hebu chukulia kosa lolote
Karibu
hutoweza kunielewa mpaka utakapojielewa kwanza,,, coz kukomaa baada sijui umesema kufumwa....ndo nakwambia ni kwamba mtu anakulazimisha uamini kwamba alichokifanya kwake ni kawaida.....so uamue mwenyeweSijakuelewa.....
well the word sorry need not be part of your (you and your partner) vocabulary.2: sasa mtu ushamfuma bado unataka akuombe msamaha halafu mnataka kudanganywa kwamba shetani alimpitia
ukishamfuma mtu maamuzi ni yako kuendelea au kuachana nae kubembelezana huko ni kujaribu kuangalia mtu yupo upande upi kama ameamua kukusamehe atapuuzia kama ameamua yametosha utabembeleza mpaka utamuimbia nyimbo
kuomba msamaha ni neno la kinafki silitumii hata kwa kudanganya na sina muda wa kulisikiliza ni unafkiwell the word sorry need not be part of your (you and your partner) vocabulary.
hopefully na wewe hutegemei kuombwa msamaha. abaki anakuangalia aone umeamuaje sasa.
Hawajaniko....za[/Q
Hahahahaha Evelyn umenena kwa lugha. Il tumekusoma. Itabidi the next candidate ajitahidi ufike...
Hahahah,,,,,,,,,ndio unakuwa na hasira nao namna hiyo??Hawajaniko....za
Ningekuwa namfahamu Mr. Wako ningeikopi hii kwake ili atimize wajibu wake ipasavyo. Wengine tunashambuliwa kisa yeye hajakuko....za ipasavyo.Hawajaniko....za

Hawajaniko....za