excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,458
- 17,945
Kwa udi tu ingetosha ila uvumba tena nmmh
sijakuelewa....!
Kwa udi tu ingetosha ila uvumba tena nmmh
utuache tulaleee
hahahaha laleni tu but dawa yenu i jikoni
mtu mzima hatishiwi nyau..... sleep well
hahaa!!! poa poa babu! text nimeiona.. ila nilishawatuma ushenga kwenda kwa batuli actress.. unakumbuka hiyo ishu?
Eshy m.s na miss neddy... mnarara au mnaamka? hebu nipeni ripoti nitandike rikitanda rangu!hahahaha roho yangu kwaaaatu maana Excel ni kama kuku wa kienyeji hata atange vipi mwishowe atarudi bandan tu
Hiyo sijaikumbuka bwana....
Ila umeona kuwa babu bado yuko fit?
Eshy m.s na miss neddy... mnarara au mnaamka? hebu nipeni ripoti nitandike rikitanda rangu!
hahahaaaa!!! kumbe ndio maana babu, barua yangu ya ushenga ukazama nayo mitini kulaleki! Asprin nae aje ajibu hoja...!!! batuli actress hayupogo siku hizi sababu hii hii! lolz!
Hapa nahisi unanionea aisee.....
Babu huwa hana roho mbaya...hii ilikuwaje kwani??
wivu mbayaaaa
kuna sehemu nimewaita.. nashangaa kwanini hamji?
unamkumbuka vizuri Batuli aka Cleopatra? ...
sasa ole wako babu useme simjui qulaleki!
cc.. Asprin babu!
we endeleaaa tu nitakutafutia dawa ya kugandana tu afu mumeo sijui umempa limbwata la aina gani hata umwite vipi anakuja na likamera lake badala ya pisto
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaah! hujui kamera ndo inatuweka mjini
wanang'ata ng'ata vidole