Ma X Girlfriend wananisaka kwa udi na uvumba

Bujibuji punguza kisasi, jifunze kusamehe. Sunk cost sio tija utakapoanza nao maisha mapya ya ndoa takatifu. Ama unakwazika kuwa step father?
 
Miaka 35 sasa imepita tangu nilipozaliwa, wale ma ex girlfriend wangu wabakiaji, ambao hawajabahatika kupata mume, wananisonga kwelikweli tuingie kwenye taasisi ya ndoa.Wote wamezalishwa, waliniumiza moyo na sina moyo tena wa kupenda, je niwafanye nini watu hawa?Acha nizeeke na ubachela wangu.
Mi pia bado nakupenda na kukumiss sana bujibuji....
 
Ukiona maji yanazidi unga,

au unga unazidi maji...

Basi ni bora ukimbie...

Hizi hisia sometimes huwa zinatupeleka mbali....

Natamani, niache ubachela!
 
Ha ha ha here is Bujibuji again..... at his best as always!!! Swali la haraka....ni wangapi hao girlfriends wako?
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji punguza kisasi, jifunze kusamehe. Sunk cost sio tija utakapoanza nao maisha mapya ya ndoa takatifu. Ama unakwazika kuwa step father?

Hapa hai apply mkuu. Walowazalisha ndo wafanye sunk cost. Wachana nao, au zalisha wote halafu wabakie na watoto, kila mmoja atakuwa nao wawili wawili.

Ila hapa nahisi Bujibuji anafanya promo ya love connect
 
Last edited by a moderator:
Miaka 35 sasa imepita tangu nilipozaliwa, wale ma ex girlfriend wangu wabakiaji, ambao hawajabahatika kupata mume, wananisonga kwelikweli tuingie kwenye taasisi ya ndoa.Wote wamezalishwa, waliniumiza moyo na sina moyo tena wa kupenda, je niwafanye nini watu hawa?Acha nizeeke na ubachela wangu.

weka picha ili tuwajue ili tuwaambie ukweli kwa sababu wewe unaogopa
 
Ulilikoroga mwenyewe kwa kuwa na ex wengi,sasa lazima ulinywe.
 
Hapa hai apply mkuu. Walowazalisha ndo wafanye sunk cost. Wachana nao, au zalisha wote halafu wabakie na watoto, kila mmoja atakuwa nao wawili wawili.

Ila hapa nahisi Bujibuji anafanya promo ya love connect
Kaka sina hamu na wanawake wa JF ni magwiji wa kuumiza moyo mzee.. Wanajiita NIGUSE BAHATI MBAYA NIKUUMIZE MAKUSUDI
 
Back
Top Bottom