excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,455
- 17,936
babu unaruka?
nilete ushahidi eenh?
Leta tu ili nikumbuke kama kweli hiyo issue ilifikishwa kwa babu au la!
Du... Hii kali, umejisahau na hujikumbuki tena!!!!!!!!!!!Huyo ni mimi kweli?
Za viatu, chupi au sidilia??Nipe no zao nikusaidie mzee buji.
Yaani wewe fikiria upande wa pili. Mtu alikukataa ameenda huko kazalishwa mi ndio nilee mtoto wake? Isitoshe aliondoka kwa nyodo nyingi yakaenda kumshinda huko!
Bujibuji punguza kisasi, jifunze kusamehe. Sunk cost sio tija utakapoanza nao maisha mapya ya ndoa takatifu. Ama unakwazika kuwa step father?
Na wewe ni.mmoja wapo ktk hao maX gelfrend nini!
acha umbea
hahahahahah baki njia kuu
nakuonya kwa mara ya mwisho! acha umbea