Ma X Girlfriend wananisaka kwa udi na uvumba

Ma X Girlfriend wananisaka kwa udi na uvumba

Bujibuji punguza kisasi, jifunze kusamehe. Sunk cost sio tija utakapoanza nao maisha mapya ya ndoa takatifu. Ama unakwazika kuwa step father?

Yaani wewe fikiria upande wa pili. Mtu alikukataa ameenda huko kazalishwa mi ndio nilee mtoto wake? Isitoshe aliondoka kwa nyodo nyingi yakaenda kumshinda huko!
 
Unampa babu jaribio au kuna lingine?

Hebu malizana na huo ujumbe kisha tuendelee!

hahaa!!! poa poa babu! text nimeiona.. ila nilishawatuma ushenga kwenda kwa batuli actress.. unakumbuka hiyo ishu?
 
Miaka 35 sasa imepita tangu nilipozaliwa, wale ma ex girlfriend wangu wabakiaji, ambao hawajabahatika kupata mume, wananisonga kwelikweli tuingie kwenye taasisi ya ndoa. Wote wamezalishwa, waliniumiza moyo na sina moyo tena wa kupenda.

Je niwafanye nini watu hawa? Acha nizeeke na ubachela wangu.


Achana nao huoni vimwana wameiva IFM, CBE, UDOM, MZUMBE, TIAA, USTAWI, UDSM, SAUT, ARUSHA UNIVERSITY, HKMHU, MAKUMILA, TUMAINI, vyuo vya ualimu, vyuo vya unesi nk? Wapo wazuri wanatafuta wanaume tena wabichi mwingine katundika jana anatafuta mchuma yuko IFM mwaka wa pili ila wapime pia maana siku hzi ukimwi kibao sio vyote ving'aavyo ni dhahabu ila achana na hao wa zamani waliopigwa mapaipu mpaka wakazalishwa.
 
Miaka 35 sasa imepita tangu nilipozaliwa, wale ma ex girlfriend wangu wabakiaji, ambao hawajabahatika kupata mume, wananisonga kwelikweli tuingie kwenye taasisi ya ndoa. Wote wamezalishwa, waliniumiza moyo na sina moyo tena wa kupenda.

Je niwafanye nini watu hawa? Acha nizeeke na ubachela wangu.

hapo kwenye RED nikufahamishe it means you live for nothing ,,,evolution of MAN ,ni kwamba HE MUST LIVE FOR SOMETHING..:A S thumbs_up:
 

Attachments

  • Good Night.jpg
    Good Night.jpg
    151.5 KB · Views: 36
Back
Top Bottom