Ma X Girlfriend wananisaka kwa udi na uvumba

Ma X Girlfriend wananisaka kwa udi na uvumba

Kama walikutenda ukatendeka, leo hao hao wanakukimbilia. Waulize, walisahau nn kwako Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
miss you babu DC!!

wanikumbuka kweli?


Kwa nini sikukumbuke mkuu?

Naona ulipotea jumla.....ila mambo yako yanakwenda kwa speed ya kutisha..lol!!

Wewe unakula raha na wadau wa zamani??

Wenzio tunakaribia kukimbia mji kwa ajilii ya hao wadau....!
 
kurariana inaendandana na kurana, kurika, kurara... nk nk!

au sio Eshy m.s?

kurana,kurara aiseeeee ngoja nitafute zile dhana then unifafanulie vizuri sawa kabla sijawarestisha
 
Last edited by a moderator:
ntakusomea alibaRIIDIIIIII ili mtarimbo ulale DOROooooo, kukupa tu ndo misarakasiiiii mingiiii leo hii tuungane pamoja hutakii, JAMAN baby/sth/ take me to be ur money spender
 
Kwa nini sikukumbuke mkuu?

Naona ulipotea jumla.....ila mambo yako yanakwenda kwa speed ya kutisha..lol!!

Wewe unakula raha na wadau wa zamani??

Wenzio tunakaribia kukimbia mji kwa ajilii ya hao wadau....!

nilijua tu ntakukamatia hapo mkuu.. hebu niambie tuliachania wapi qulaleki!!

kila siku namuona Asprin tu na vitoto vyake...
 
Last edited by a moderator:
ntakusomea alibaRIIDIIIIII ili mtarimbo ulale DOROooooo, kukupa tu ndo misarakasiiiii mingiiii leo hii tuungane pamoja hutakii, JAMAN baby/sth/ take me to be ur money spender

wow....! such a Lovebird!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom