Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,561
hahaha mwanamke umbea babu
halafu mumeo alikuita kule juu mbona hujaja?
hahaha mwanamke umbea babu
halafu mumeo alikuita kule juu mbona hujaja?
Bujibuji kokote kule uliko! qulaleki... nakupa mamlaka yangu juu ya miss neddy na Eshy m.s wanaochati kwenye uzi wako! lolz!
fanya chochote! ila usizidi, ntakuharibu! lolz!
Miaka 35 sasa imepita tangu nilipozaliwa, wale ma ex girlfriend wangu wabakiaji, ambao hawajabahatika kupata mume, wananisonga kwelikweli tuingie kwenye taasisi ya ndoa. Wote wamezalishwa, waliniumiza moyo na sina moyo tena wa kupenda.
Je niwafanye nini watu hawa? Acha nizeeke na ubachela wangu.
hahahahahahahahaha sasa nyie hamtaki kumpa ushauri awafanyeje hao ma X wake si tutamshauri nini usikute ndo ma x wenyewe sisi
Fanya uoe mkuu ubarchelor sio dil.
Three sum?
upo? nilikumiss my
Miaka 35 sasa imepita tangu nilipozaliwa, wale ma ex girlfriend wangu wabakiaji, ambao hawajabahatika kupata mume, wananisonga kwelikweli tuingie kwenye taasisi ya ndoa. Wote wamezalishwa, waliniumiza moyo na sina moyo tena wa kupenda.
Je niwafanye nini watu hawa? Acha nizeeke na ubachela wangu.
Sasa unanipa nini na unaninyima nini?Bujibuji kokote kule uliko! qulaleki... nakupa mamlaka yangu juu ya miss neddy na Eshy m.s wanaochati kwenye uzi wako! lolz!
fanya chochote! ila usizidi, ntakuharibu! lolz!
Sasa unanipa nini na unaninyima nini?
Hapo penye alama nyekundu ......
Hebu angalia hii kamati ya ufundi kama unaiweza
![]()
Sasa unanipa nini na unaninyima nini?
Hapo penye alama nyekundu ......
Hebu angalia hii kamati ya ufundi kama unaiweza
![]()
hahahaaaaaa!!! aiseee!!
we noma, ila hunizidi! ona maujanja yangu,... nani mchawi sasa!
![]()
We endelea kubaki njia kuu, hao wa service road achana nao...
mkuu, sikukatalii kubaki njia kuu ila sasa itakuwaje endapo tingatinga limebuma katikati ya njia?