Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,848
- 2,741
Linatengenezwa hapo hapo kama treni vile likibuma...
kwahiyo nilisubiri mpaka litengenezwe ndio nipite? na ikichukua wiki kukamilika?
Linatengenezwa hapo hapo kama treni vile likibuma...
kwahiyo nilisubiri mpaka litengenezwe ndio nipite? na ikichukua wiki kukamilika?
halafu mumeo alikuita kule juu mbona hujaja?
hahahaaaaaa!!! aiseee!!
we noma, ila hunizidi! ona maujanja yangu,... nani mchawi sasa!
![]()
mwingine kaniletea hati ya nyumba eti niende ardhi nikabadilishe jina niweke languHuenda wameona kipato chako kimeongezeka
Duh kweli umeniloga kidigitali.
Halafu tukisema shetani ni mzungu mnabisha.
Miaka 35 sasa imepita tangu nilipozaliwa, wale ma ex girlfriend wangu wabakiaji, ambao hawajabahatika kupata mume, wananisonga kwelikweli tuingie kwenye taasisi ya ndoa. Wote wamezalishwa, waliniumiza moyo na sina moyo tena wa kupenda.
Je niwafanye nini watu hawa? Acha nizeeke na ubachela wangu.
We endelea kubaki njia kuu, hao wa service road achana nao...
hahahaaa!! mi nilikuwa nathibitisha kuwa mimi ni mkali aisee!!
sasa sema.. unaonaje haapa?
![]()
nakusabahi2 bi shosti..za kupotea!
Dah, umenikumbusha lile boda langu la Brazili, Moscow jangwani kisha unafika Dental Formulahuyu hana hata njia kuu,kama mtu anayefanya kazi muhimbili halafu anaishi kinondoni hananasif,yeye na vichochoro vichochoro na yeye,iwe anaenda au anarudi!
poa tu upo weye?
Du... Hii kali, umejisahau na hujikumbuki tena!!!!!!!!!!!
Ubabu raha sana. Babu mmoja wajukuu kibaoSiyo kujisahau bwana....
Hawa wajukuu ni wachokozi sana...wanataka kumbana babu kwenye angle theta bila kumpa mwanya wa kupumua!
Ubabu raha sana. Babu mmoja wajukuu kibao