Ma-super star wa jf...!!

Ma-super star wa jf...!!

kweli aisee...Ngoja nikachungulie kule nione kumekaaje!
but huku ndio penyewe... ni sehemu ya kupata tulizo!

Kule mnakuweza nyie bana
nikiingia mle kwa siku moja kichwa kinauma
Ndo maana napita kama kituo cha polisi siangalii kabisa
 
Hahahah.... ADI yuko Martenity leave..... ndo matatizo ya mimba za mchana wakati mvua inanyesha, unaingia wodini wakati kuna misredi inawasubiri huku (chonde chonde usijemwambia, sipendi gombana na hommie wala shem wangu)Huyo kloro nimecheki naye kanambia bado buku mbili ili afikishe buku tano za kuingia kefu. Kule aliko umeme hamna, kuingia kefu inayotumia jenereta ni aghali kuliko Sukari kilo mbili.


Hahahaha........ we hujamjua Rejao vizuri, ukimuona huku ujue kaja kutoa mastress, kule kamuacha swahiba yake ritz. Masress yakiisha anarejea kule kutoa mastress, ritz anakuja huku kupunguza mastress...... hii mijamaa mijanja sijapata kuona. Hata Lowassa haoni ndani kulaaleki!

Babu hawa jamaa wanatuzalishia stress halafu wanazikimbia
Mi kule siendi kabisa maana najua nikiingia kule ni full stress
 
Mmmh! Napita tu jamani Manake mimi sio super-star wala celebrity
 
Kule mnakuweza nyie bana
nikiingia mle kwa siku moja kichwa kinauma
Ndo maana napita kama kituo cha polisi siangalii kabisa
kuwa unajaribu kurushia kapost kamoja kamoja...mwishowe utapozea!
Dena leo nimemuana kule..but kaja kuchakachua..ikabidi nimstue mapema isije sababisha dhahama!
 
Hahaha..... kuna Rejao, Ritz, FaizaFoxy, omr na mzee.
Hawa kule jukwaa la mastress wakirusha maposti yao kuna watu wanatoa mapovu balaa.
Wakishatoa watu mapovu kule wanahania huku MMU kula kuku kwa mrija.
Mijamaa mijanja sana hii........ yaani mijanja kama Lowassa kulaaleki.

bora nimetembelea hili jukwaa, nimejua unavyoniwazia. Sio sahihi nitake radhi.
 
Jf hakuna supestar hata mmoja. Hata mod's sio masupa staa. Wabongo mnapenda sifa.
 
kuwa unajaribu kurushia kapost kamoja kamoja...mwishowe utapozea!
Dena leo nimemuana kule..but kaja kuchakachua..ikabidi nimstue mapema isije sababisha dhahama!

Sitaki kuumiza kichwa mkuu
Mara siasa zimefanya hivi mara ufisadi mara maandamano mara dowans mara richmond ahhh
Huko kwenye stress kaeni nyie bana
 
AshaDii (always my sweet darling)
Sweetlady
Bebii
MJ1
Smile
Smiles
Cantalisia
Gaijin (mwalimu wangu)
FL1
Gaga
Chauro
Husninyo (.....)
FeisBuk
Nyamayao
Preta
Dena
Afro Denzi (....)
....................................................................................................

ODM., Asprin, Klorokwin, TF, The Boss, Mbu, Uporoto, Fignig,Sizinga, VinDiesel, SMU, SteveDii, Chimungururu, funzadume, MR,Mr. Rocky,

(hapa list inaendelea)



Sweetie... this is so sweeeet of you.... This post has made up for all the MISSING YOU part i have been feeling lately....


BTW Naaamini kabisa thru this post una case na King'
 
Sitaki kuumiza kichwa mkuu
Mara siasa zimefanya hivi mara ufisadi mara maandamano mara dowans mara richmond ahhh
Huko kwenye stress kaeni nyie bana
lol..but mmu ndio kuna malalamiko kibao!
bora hapa chit chat!
hapa ndio kila mtu anajiachia anavyotaka
 
lol..but mmu ndio kuna malalamiko kibao!
bora hapa chit chat!
hapa ndio kila mtu anajiachia anavyotaka

Siku hizi na mimi nimekuwa mfuatiliaji sana wa chit chat
MMU malalamiko ya ndoa nayo yamekuwa mengi karibu nako kutakuwa sio stress free tena
Huku ndio mambo yote bana
 
kuwa unajaribu kurushia kapost kamoja kamoja...mwishowe utapozea!
Dena leo nimemuana kule..but kaja kuchakachua..ikabidi nimstue mapema isije sababisha dhahama!

Sikuchakachua bana mie nataka maandamano wewe unasema nachakachua kule huwa nabeep mara moja moja si sana kivile
Kule unaweza kutokwa na povu la ajabu
 
aunt nipo jamani, mambo mengi hadi jana nikasahau kumwish cousin wangu happy birthday. Dah! Nisamehe bure. Mpe hi kwa sana.



Yaaani uliniudhi niece.... Umeshindwa hata mtumia zawadi mdogo wako..... I am Sad. (Sijui unibembeleze kwa style ipi)
 
Back
Top Bottom