njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,259
- 7,106
Celebrity number one is Faiza Foxy
(chanzo Faiza Foxy mwenywe)
Gaijin weye ndie superstar humu bana ni moja kati ya wasichana/ kina dada wachache ninao wakubali humu JF wasiokuwa na porojo una msimamo.... na huyu dada/bint Freema Agyeman .... kuna ile thread ya Faiza foxy banned mmempa nondo za maana PAW ilibidi awe mdogo na kufunga thread