Fully SUPPORTED!!
Ni jukwaa zima but sana kwa wanaojichanganya... Uwe unakuja na sehemu kama hizi bana! unapumzika pale international Forum (IF)
Thanks Auntie.... Barikiwe saaaana....
hahahahah..... Shem wewe ni Supestar wangu leo.... (wewe ni mchakachuaji wa mana, take note Sweetie ni superstar wa kila siku)
Ok, i will do that,
Kweli i felt kinda lost jana.
Kwa kawaida huwa niki browse JF ninaanzia kwenye threads ambazo nilichangia previously na kuna watu/mtu aliye ilike contribution yangu, ama pia kama kuna aliye respond...However jana i took a different route,nikaanzia ku browse "New posts" ndo nikaona hii heading nikaingia humu.
Nika realise ni chit chat...
Nimegunduwa kuna wana JF wengi tu sifahamu michango yao licha ya kuwa ni masupa staa,so nitaanza kutembea na ku explore JF as much as i can on its entererity, if i may...
Wengi ninawafahamu, nimewaona wametajwa kama Gaijin,The Boss,Mr Rocky,Mkjj,Mamakubwa,Wewe mwenyewe Asha D,na sis RR,na baadhi ya wengine...Ila pia nimeshangazwa mmemsahau EMT since naye ni mojawapo ya wenye kutembea humu,juzi nilkutana naye kwenye jukwaa la lugha,ni kwasababu ya kupata marafiki,basi unajikuta unafuatilia wanapochangia,it happened with Sis RR...
Wengi nawafahamu kidogo tu kwa kuwaona in a couple of posts,wengi wamejiunga 2010/2011(not prejudice)
However nimegunduwa ni lazima nianze kuwafahamu member wapya kwasababu sisi tunaichukulia JF kama a big family.
Pia kwa upande mwingine, nimeshangazwa sana kwasababu kuna watu sijawasikia,again kama ulivyosema,maybe nahitaji kutembea zaidi.
Ila kwa utembeaji wangu huo limited,bado nikitaja majina ya ninaodhani ni superstars,it will take me time,ni wengi mno!
Na pia sijui kama hii ni ya masupa sta wa all the times ama ni wa year 2010/2011(again not prejudice)
Ama ni vigezo vya majukuwaa?
Mhn! I am lost,however more curious kuona na mimi ni kwa vipi nitaweza kuwa supa staa!Ha ha ha!