Ma-super star wa jf...!!

Ma-super star wa jf...!!

QUOTE=sweetlady;2824501]Lol, thanx a lot mpendwa! Mie penda wewe sana(hope hapa utapaka rangi nyeusi)..

Pamoja sana Mr. Rocky!

Source: my lovely wifi wa ukwee' AshaDii.


Mwaaaah to her popote alipo.[/QUOTE]

Mimi penda sana wewe na mwaaaaaaaah ( hapa weka rangi TF asione)
Nishafunika na kaniki hata akiamka hataona kitu
 
halafu ndoa ya mr rocky na mama tuli ilikuwa lini? Hata kualikana huo ubwabwa jamani!
Kadi yako nilimpa my sugar hubby wako hivi hukuipata
Aise ana roho mbaya yule aliyekuja nae alikuwa nani kama sio wewe
 
Wa kwangu kiasi ( list ni ndefu sana)
AshaDii ( I L......... U)
Mama Tuli ( my wife wangu)
Dena( jitangazie mwenyewe)
Smile (mhhhh naogopa kusema )
Sweetlady (TF namuogopa sana)
Bebii
MJ1
Cantalisia
Gaijin
Gaga
Chauro
Husninyo
FeisBuk
Nyamayao
Preta
Afro Denzi
The Finest (PA pamoja sana viwanja kwa sana)
The Boss
Journe ( kwa mrombo lini aise)
Rejao (mzee wa jukwaa la stress)
Kloro (lawyer nina kesi unatakiwa unisimamie)
Asprin(Babu heshima mbele)
Funzadume( Mhhh naogopa kulitaja lile jukwaa maarufu)
Kibweka
Kibanga
Lizzy
Russian
Kaizer
Katavi
Mtambuzi
Mamndenyi
King'asti
Kimey
Fidel
Pj
Baba Enock
Teamo
Mzee wa Rula
Bishop Hiluka
Excellent (jukwaa la vichekesho)
MTM
Voice of reason


.................................list inaendelea

Kwenye muendelezo hapo muongezee Mr. Rocky mwenyewe!
Nimeipenda list yako..imegusa almost kila jukwaa..mpaka kwa Funzadume kule umepagusa.
 
Kadi yako nilimpa my sugar hubby wako hivi hukuipata
Aise ana roho mbaya yule aliyekuja nae alikuwa nani kama sio wewe

dah! Usiniambie kaja na ...... .... Unanipandisha presha rocky.
 
Kwenye muendelezo hapo muongezee Mr. Rocky mwenyewe!
Nimeipenda list yako..imegusa almost kila jukwaa..mpaka kwa Funzadume kule umepagusa.

Asante sana mkuu
Yeah nimegusa karibu kila sehemu
 
QUOTE=Husninyo;2824579]alilelewa akaanza kujihelp haja kubwa na ndogo hapo hapo.[/QUOTE]
Ilikuwa aibu ila tulimvumilia hivyo hivyo.
 
Alikuja na mtu kamkumbatia vilivyo na mabusu mengi nikajua ni wewe. Ila sura nilipoangalia nikaona sio yenyewe

dah! Kama ndio hvyo nishamdelete. Ngoja nikaweke kambi love connect.
 
Sweetie... this is so sweeeet of you.... This post has made up for all the MISSING YOU part i have been feeling lately....


BTW Naaamini kabisa thru this post una case na King'

We have made it up babe......
 
QUOTE=Dena Amsi;2824365]@ Mr. Rocky kusema mbele za watu ndo nini? Unataka kila mtu ajue mie ni small house na unajua Mama Tuli yupo hapa
Ndo maana nikaacha bila kumalizia
Waseme wenyyewe ni nini
Duh taratibu basi bana[/QUOTE]

He he kumbe mwoga kiaina? Wapi mama tuli soma hapa dear. Mr. Rocky nampeleka "Ukenyenge" akale "mzubo" na "nsansa" plus maparage and michembe. Mr. Rocky sitaki maswali hapa right?
 
halafu ndoa ya mr rocky na mama tuli ilikuwa lini? Hata kualikana huo ubwabwa jamani!

Ha ha mwee mie mwenyewe hoi nilistukia tu naletewa kadi ya inner party hata sijui ndoa ilifungwa lini na wapi? Asse... of GOD, KALZMATIC, KKT, ANGLICAN, RC kwa cardinal Pengo nk. Sikuelewa na wala sikuhudhuria asilani abadan
 
Ndo maana nikaacha bila kumalizia
Waseme wenyyewe ni nini
Duh taratibu basi bana

He he kumbe mwoga kiaina? Wapi mama tuli soma hapa dear. Mr. Rocky nampeleka "Ukenyenge" akale "mzubo" na "nsansa" plus maparage and michembe. Mr. Rocky sitaki maswali hapa right?[/QUOTE]

Kweli hapo sina swali
Twende zetu bana Mama Tuli kalala wala hatashtuka muda huu
Halafu funika haya maandishi asiyaone
 
QUOTE=Dena Amsi;2825577]Ha ha mwee mie mwenyewe hoi nilistukia tu naletewa kadi ya inner party hata sijui ndoa ilifungwa lini na wapi? Asse... of GOD, KALZMATIC, KKT, ANGLICAN, RC kwa cardinal Pengo nk. Sikuelewa na wala sikuhudhuria asilani abadan[/QUOTE]

Kwani kadi yako hukupata
Aise nilimpa my hubby wako halafu nae akaja ila alikuwa na mwanamama mmoja kibonge mbaya
 
QUOTE=Dena Amsi;2825577]Ha ha mwee mie mwenyewe hoi nilistukia tu naletewa kadi ya inner party hata sijui ndoa ilifungwa lini na wapi? Asse... of GOD, KALZMATIC, KKT, ANGLICAN, RC kwa cardinal Pengo nk. Sikuelewa na wala sikuhudhuria asilani abadan

Kwani kadi yako hukupata
Aise nilimpa my hubby wako halafu nae akaja ila alikuwa na mwanamama mmoja kibonge mbaya[/QUOTE]

Ha ha ha haya bana naona unajitetea kiaina lakini ukweli nikuwa mie sikuhudhuria (Hapa una kesi ya kujibu ili nikuelewe)
 
Nzuri wifi mzima wewe? Tupo tu

Mie mzima dear.... Hopefully mambo yooote pouwa, naona kazi yenu hapa na R'

ahsante anti. Leo nalala nje kwa mara ya mwisho. Kesho nitarudi nyumbani. Lol.

Hapo sawa niece... nitakupikia your favourite food...

Lol, thanx a lot mpendwa! Mie penda wewe sana(hope hapa utapaka rangi nyeusi)..

Pamoja sana Mr. Rocky!

Source: my lovely wifi wa ukwee' AshaDii.


Mwaaaah to her popote alipo.

Mwaaaaaah! kwako pia,..... Natuma kwako Luke warm hugs.... na Kisses with so much love..... Habari yako Sweet Wifi.

We have made it up babe......


Thats good to know love.... Proud of you....
 
Back
Top Bottom