Tena Husny nimem-Miss huyu Mtoto jamani sijui yukwap??
aunt nipo jamani, mambo mengi hadi jana nikasahau kumwish cousin wangu happy birthday. Dah! Nisamehe bure. Mpe hi kwa sana.
natamani kufika huko...
Utafika tu...kila mtu alianza kama wewe..natamani kufika huko...
Thanx feis buku...upo kwenye list yangu pia!REJAO my star in JF! leo kura yangu imeamkia kwako!
Hahaha..... kuna Rejao, Ritz, FaizaFoxy, omr na mzee.REJAO my star in JF! leo kura yangu imeamkia kwako!
lol...babu...nilikuwa sina mudi yakucheka lakini imenibidi nicheke!Hahaha..... kuna Rejao, Ritz, FaizaFoxy, omr na mzee.
Hawa kule jukwaa la mastress wakirusha maposti yao kuna watu wanatoa mapovu balaa.
Wakishatoa watu mapovu kule wanahania huku MMU kula kuku kwa mrija.
Mijamaa mijanja sana hii........ yaani mijanja kama Lowassa kulaaleki.
Hehehe... uafikiri sichunguliagi kule? Sema miye nna aleji na kule nikitaka kutaipu skriin inazimika. Mi nliumbwaje sijui.lol...babu...nilikuwa sina mudi yakucheka lakini imenibidi nicheke!
Kama unapenda stress kule ndio penyewe...kule watu wana misimamo ile mbaya!!Hehehe... uafikiri sichunguliagi kule? Sema miye nna aleji na kule nikitaka kutaipu skriin inazimika. Mi nliumbwaje sijui.
Hivi hii ni posti ya ngapi? Nafanya mishemishe niposti kwenye posti ya 500. Atakayeniwahi ntamhamishia masaburi yake usoni.
Kama unapenda stress kule ndio penyewe...kule watu wana misimamo ile mbaya!!
hapa bado tupo 392... mia tano sijui kama itafika..labda AshaDii na Kloro waje!
Hahahah.... ADI yuko Martenity leave..... ndo matatizo ya mimba za mchana wakati mvua inanyesha, unaingia wodini wakati kuna misredi inawasubiri huku (chonde chonde usijemwambia, sipendi gombana na hommie wala shem wangu)Huyo kloro nimecheki naye kanambia bado buku mbili ili afikishe buku tano za kuingia kefu. Kule aliko umeme hamna, kuingia kefu inayotumia jenereta ni aghali kuliko Sukari kilo mbili.Kama unapenda stress kule ndio penyewe...kule watu wana misimamo ile mbaya!!
hapa bado tupo 392... mia tano sijui kama itafika..labda AshaDii na Kloro waje!
Hahahaha........ we hujamjua Rejao vizuri, ukimuona huku ujue kaja kutoa mastress, kule kamuacha swahiba yake ritz. Masress yakiisha anarejea kule kutoa mastress, ritz anakuja huku kupunguza mastress...... hii mijamaa mijanja sijapata kuona. Hata Lowassa haoni ndani kulaaleki!Babu shikamoo
Ugoro wako umemwagika
Rejao jukwaa la mastress linakusubiri bana huku hakukufai
Kama unapenda stress kule ndio penyewe...kule watu wana misimamo ile mbaya!!
hapa bado tupo 392... mia tano sijui kama itafika..labda AshaDii na Kloro waje!
Hahahah.... ADI yuko Martenity leave..... ndo matatizo ya mimba za mchana wakati mvua inanyesha, unaingia wodini wakati kuna misredi inawasubiri huku (chonde chonde usijemwambia, sipendi gombana na hommie wala shem wangu)Huyo kloro nimecheki naye kanambia bado buku mbili ili afikishe buku tano za kuingia kefu. Kule aliko umeme hamna, kuingia kefu inayotumia jenereta ni aghali kuliko Sukari kilo mbili.
Hahahaha........ we hujamjua Rejao vizuri, ukimuona huku ujue kaja kutoa mastress, kule kamuacha swahiba yake ritz. Masress yakiisha anarejea kule kutoa mastress, ritz anakuja huku kupunguza mastress...... hii mijamaa mijanja sijapata kuona. Hata Lowassa haoni ndani kulaaleki!
kweli aisee...Ngoja nikachungulie kule nione kumekaaje!Babu shikamoo
Ugoro wako umemwagika
Rejao jukwaa la mastress linakusubiri bana huku hakukufai
Khee! Bujibuji lishakuwa tusi? Mi najua masaburi ndo limeshika kasi. haya nambie bujibuji ni tusi ya kutaja kiungo kipi cha mwili?Buji buji kabisa nyie Source: Tusi la JF (lol)
Nimepita hapa Source: Mamndenyi
JF is never Boring Source: The Boss
Pamoja Saana Source: AshaDii
I love you guys...
Wooote mlopita humu na kunitaja,
naahidi nitasoma kila post nikipata mda Source: ME
Na logoff Source: Washawasha.
Khee! Bujibuji lishakuwa tusi? Mi najua masaburi ndo limeshika kasi. haya nambie bujibuji ni tusi ya kutaja kiungo kipi cha mwili?
Natamani kujua hilo tusi ni la kutusi nini LOL ODM haiwezekani nipitwe namna hii.Ndo ujue sipo comfy kutukana... I radher like the BjBj tusi....lol... Naona ni tusi la ku-apply character yake to another member.... Shem Mimba ile bana kumbe ilikua false alarm (tumepumzika kidogo saizi doing it sasa hivi ni atleast asubuhi na jioni tu mana the kids watosha)😛hoto:
Ya 400 hii!! Nimekupiga bao jingine tena!!Natamani kujua hilo tusi ni la kutusi nini LOL ODM haiwezekani nipitwe namna hii.