Ma-super star wa jf...!!

Ma-super star wa jf...!!

Gravity haina nguvu sana when it comes to human being, you know why....

"Gravity can calculate the motion of heavenly bodies, but not the madness of people." Isaac Newton

realy!!..Lol!!

but ..when lots of people are n deep love ..thy feel very lighter .. they feel can fly to the space without even that thing n my avatar! gravity cant pull them down!! Lol .. They call it Power of love ..Lol!!
 
QUOTE=sweetlady;2800845]Wakaka/Wababa: Katavi, Uporoto, Fidel, The Finest, Klorokwini, Asprin, MTM, The Boss, Kaizer, Pakajimmy, Crashwise, Rejao, Mr. Rocky, Mbu, Mwanakijiji, Chatu dume, BAK...

Wadada/ Wamama: AshaDii, King'asti, Husninyo, bht, Gaijin, Mamndenyi, Black Woman, Preta, Dena Amsi, Lizzy, Afro d, MJ1... Hapa Itifaki haijazingatiwa so hakuna wa kwanza wala wa mwisho... Wasipokuwepo hao mie najitoa jf.. Mungu awape maisha marefu.[/QUOTE]
Sweetlady asante sana sana
Duh kwa kuniombea maisha marefu
Same to you dear uishi maisha marefu sana yenye baraka
Lols
 
AshaDii (always my sweet darling)
Sweetlady
Bebii
MJ1
Smile
Smiles
Cantalisia
Gaijin (mwalimu wangu)
FL1
Gaga
Chauro
Husninyo (.....)
FeisBuk
Nyamayao
Preta
Dena
Afro Denzi (....)
....................................................................................................

ODM., Asprin, Klorokwin, TF, The Boss, Mbu, Uporoto, Fignig,Sizinga, VinDiesel, SMU, SteveDii, Chimungururu, funzadume, MR,Mr. Rocky,

(hapa list inaendelea)

Kaizer big up mkuu
Asante sana sana.
 
QUOTE=sweetlady;2800845]Wakaka/Wababa: Katavi, Uporoto, Fidel, The Finest, Klorokwini, Asprin, MTM, The Boss, Kaizer, Pakajimmy, Crashwise, Rejao, Mr. Rocky, Mbu, Mwanakijiji, Chatu dume, BAK...

Wadada/ Wamama: AshaDii, King'asti, Husninyo, bht, Gaijin, Mamndenyi, Black Woman, Preta, Dena Amsi, Lizzy, Afro d, MJ1... Hapa Itifaki haijazingatiwa so hakuna wa kwanza wala wa mwisho... Wasipokuwepo hao mie najitoa jf.. Mungu awape maisha marefu.
Sweetlady asante sana sana
Duh kwa kuniombea maisha marefu
Same to you dear uishi maisha marefu sana yenye baraka
Lols[/QUOTE]
Amina mpendwa....
 
QUOTE=sweetlady;2801406]Sweetlady asante sana sana
Duh kwa kuniombea maisha marefu
Same to you dear uishi maisha marefu sana yenye baraka
Lols[/QUOTE]
Amina mpendwa....[/QUOTE]
Mekumiss ( ila kimya kimya asisikie mtu maana wapambe wengi sana lol)
 
QUOTE=sweetlady;2801406]Sweetlady asante sana sana
Duh kwa kuniombea maisha marefu
Same to you dear uishi maisha marefu sana yenye baraka
Lols
Amina mpendwa....[/QUOTE]
Mekumiss ( ila kimya kimya asisikie mtu maana wapambe wengi sana lol)[/QUOTE]
Hahaha! Na hapa hakuna mpambe zaidi ya TF bt dont worry manake huyu tutamdhibiti. Mie pia mekumiss mwaya(hakikisha TF hasomi hii post lol)
 
Lol..huu uzi ulinipitia kushoto..kumbe huwa sielewekagi?
Thanx Sizinga kwa maoni yako. Am in!

Huo uzi umebamba wengi...mi huwa sikuelewaagi...siku nyingine tuko pamoja siku nyingine upo kivyako, yani ilimradi tu hueleweki.
 
Amina mpendwa....
Mekumiss ( ila kimya kimya asisikie mtu maana wapambe wengi sana lol)[/QUOTE]
Hahaha! Na hapa hakuna mpambe zaidi ya TF bt dont worry manake huyu tutamdhibiti. Mie pia mekumiss mwaya(hakikisha TF hasomi hii post lol)[/QUOTE]

Nimefunika na karatasi TF hawezi kuuona huu uzi
Na nimepaka rangi nyeusi pia so TF hata aje na miwani ya mbao hataona kitu
 
Wakaka/Wababa: Katavi, Uporoto, Fidel, The Finest, Klorokwini, Asprin, MTM, The Boss, Kaizer, Pakajimmy, Crashwise, Rejao, Mr. Rocky, Mbu, Mwanakijiji, Chatu dume, BAK...
Wadada/ Wamama: AshaDii, King'asti, Husninyo, bht, Gaijin, Mamndenyi, Black Woman, Preta, Dena Amsi, Lizzy, Afro d, MJ1... Hapa Itifaki haijazingatiwa so hakuna wa kwanza wala wa mwisho... Wasipokuwepo hao mie najitoa jf.. Mungu awape maisha marefu.
Duh! kweli nimepoteza umaarufu yaani jina langu nimelitafuta mpaka nakuja kuliona page # 6 tena nimekumbukwa na shemeji langu,asante mrembo.

AshaDii (always my sweet darling)
Sweetlady
Bebii
MJ1
Smile
Smiles
Cantalisia
Gaijin (mwalimu wangu)
FL1
Gaga
Chauro
Husninyo (.....)
FeisBuk
Nyamayao
Preta
Dena
Afro Denzi (....)
....................................................................................................

ODM., Asprin, Klorokwin, TF, The Boss, Mbu, Uporoto, Fignig,Sizinga, VinDiesel, SMU, SteveDii, Chimungururu, funzadume, MR,Mr. Rocky,

(hapa list inaendelea)
Rafiki we ni wa pili kunikumbuka,asante.

mkimaliza kuwachagua wapitisheni hapa kwangu wapate chai,maana ndio naamka mida hii.nalog off
WW kuanzia leo post yeyote utakayotuma bila kuweka neno nalog off nitakuchangia 500/- JF na wote hawa mashahidi,kuanzia post # 2385 anza kuhesabu,kuna dada kakuweka ignore list baada ya kukereka na ku-log off lol!
 
Back
Top Bottom