Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Nilikuwa naisubiri hii siku kwa hamu sana lakini Tanesco wameshafanya yao,ila hakijaharibika kitu.
Ni furaha kuona wenzetu wameamua kuungana na sisi.
Hadi wanaamua kufanya maamuzi kama haya tena kwa muda huu kidogo uliobakia basi amini nawaambieni hali ya CCM ni mbaya,Lowassa ndiye mshindi hadi sasa.

Ning'ate sikio madam, nani anakuja huyo tumuandalie matarumbeta?
 
"Kichwa chenye mvi ni taji ya utukufu, Kama kikionekana katika njia ya haki."Mithali 16:31,”Nyumba ya mtu mbaya itabomolewa; Bali hema ya mwenye haki itafanikiwa” Mithali 14:11"Afadhali mtu akutwe na dubu aliyenyang'anywa watoto wake, Kuliko na mpumbavu katika upumbavu wake" Mithali 17:12.

Jina la bwana lihimidiwe milele Amina.
 
Huyo Magufuli mzima?Vile vi battery kwenye moyo vya kazi gani?
Loliondo alienda kufuata nini?
Huna habari anatembea na kibobo cha dawa?
Hadi hapo nani tia maji,tia maji?
Macho yasikudanganye ukadhani.......

Mmmmhh leo ni pango kwa pango:sly::sly:
 
Yesu alipokuwa msalabani akawambia na mwenzake akambia masiha naomba usinisahau katika ufalme wako mbinguni..Yesu akamjibu amini nakuambia leo hii tutakuwa wote katika ufalume wa Baba......Habari za kuwafukuza makada wa CCM leo zimeanza kujaa fuatilia hapa!! salim_alkhasas
nyepesi nyepesi ni kuwa Mwapachu, Kingunge, Sophia Simba, na mjumbe wa NEC arumeru wamefutwa Rasmi uwanachama wa CCM

"nyepesi nyepesi ni kuwa Mwapachu, Kingunge, Sophia Simba, na mjumbe wa NEC arumeru wamefutwa Rasmi uwanachama wa CCM"
 
Kati ya kauli mbiu ya kampeni za vyama hvi ipi ina mvuto kwako?

MyTake: Kama Umestuka Toroka Uje.
 
Usiangaike na NZI tupa MZOGA NZI WOTE Wataufuata..makamba senior...
 
Habari Mpasuko


Lowassa Kuzindua kampeni ya Toroka Uje, kesho Bahari Beach Hotel.


Tutegemee kuyaona mengi!


Chanzo :Blog Habari

LOWASSA kawatapeli UKAWA kuwa akipewa ugombea uraisi, viongozi kibao wa CCM wangehamia UKAWA kumbe ni utapeli mtupu. Sasa uchaguzi unakaribia bila ya ahadi zake kutokea, ndio anaanza tena kujaribu kuwarubuni. Hivi ni nani mjinga kujiunga hivi sasa wakati tayari CCM wanakubalika kwa zaidi ya 65%?
 
Wote ni wanene,Kingunge ni tycoon ndani ya CCM , anachosoma Nape Kingunge ametunga, wote wamekasirishwa na matusi ya Nape juzi Iringa
 
LOWASSA kawatapeli UKAWA kuwa akipewa ugombea uraisi, viongozi kibao wa CCM wangehamia UKAWA kumbe ni utapeli mtupu. Sasa uchaguzi unakaribia bila ya ahadi zake kutokea, ndio anaanza tena kujaribu kuwarubuni. Hivi ni nani mjinga kujiunga hivi sasa wakati tayari CCM wanakubalika kwa zaidi ya 65%?

wewe kweli KubwaJinga, pole sana.
 
Usiangaike na NZI tupa MZOGA NZI WOTE Wataufuata..by makamba senior
 
Ccm ikifarakana si salama kwetu tu bali hata wanyama kwenye mbuga zetu wata kuwa salama.

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ah ah ah ah ah ah ah ha ah aha ah aha ah ha aha ah aha aha ha ha ah da
 
Back
Top Bottom