Kinambeu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 906
- 454
Haha magu nae kuzindua kampeni ya toroka uje kilimanjaro hotel.
Hela zipo nyingi toroka uje uchukue mgao Wako baada ya Uchaguzi urudi kimya kimya!
Haha magu nae kuzindua kampeni ya toroka uje kilimanjaro hotel.
Habari Mpasuko
Lowassa Kuzindua kampeni ya Toroka Uje, kesho Bahari Beach Hotel.
Tutegemee kuyaona mengi!
Chanzo :Blog Habari
Hapo ndo patamu.
Chadema inaenda kuvishwa gamba. Tena la kijani..
Kampeni tamu sana hizi.
Na wasivyojitambua hao maskini washabiki wa Chadema maslahi wako bize kuchekelea mambo haya!
Habari Mpasuko
Lowassa Kuzindua kampeni ya Toroka Uje, kesho Bahari Beach Hotel.
Tutegemee kuyaona mengi!
Chanzo :Blog Habari
Siku hizi UKAWA wameziba vyanzo vya puppets wavujisha siri. Yaani hadi sasa hakuna hata dodoso la new recruits? Ocampo four? mussa ALAN?
Mmestuku kuwa Lowassa ni tiamaji-tiamaji sasa mnatafuta mrithi? #HapaKazi2
Hamu yetu ni kuoana kijani inaondoka ikulu, nchi hii ina miaka 50 baada ya uhuru lakini bado hakuna ukomavu, tunataka khaki sasa iingie.
Tunaomba Mungu asimamie ukweli huu.
Mabadiliko hayakwepeki mwaka huu.