Lowassa anusurika kifo Morogoro

Lowassa anusurika kifo Morogoro

.
Ashukuriwe Mungu kwa kukuokoa Lowasa.
Hivi kama Lowasa hakuwa fisadi haya majengo ya makanisa yangejengwa na nini?
Hela ya kifisadi tamu eti? hata miungu wanaimezea mate.
.

Nafikiri Mungu wa kina Lowasa mnayemwongelea ni wa mafisadi na kina Zakayo siyo huyo tunayemtegemea kumuona!!
 
Nimesikitika sana,

Nimeonewa Sana.

Ntafungua Kanisa nitaliita "Nusurika Revivals", hope ntachangiwa.

2015 Kuzuri
 
Waziri mkuu aliye jiuzulu Lowasa amenusurika kifo mkoani morogoro eneo la bwawani baada ya gari lake kukoswa koswa na basi na kukwaruzwa ubavuni upande wa kulia,hakuna yeyote aliyeumia.

Lowasa alikuwa akielekea morogoro kuchangia harambee ya ujenzi wa kanisa ambapo yeye na rafiki zake wamechangia shilingi milioni 18.

dah: inabidi na mimi nianze ujenzi wa kanisa nadhani nitapata fugu hapo,

ITV HABARI.
Kwenye nyekundu
Dini imekuwa deal kati ya mungu na waumini
 
Du hilo basi lingefanya kweli tungepunguza fisadi mmoja mkubwa na hatari! Mungu atusaidie ipatikane fursa nyingine ya kuondokewe na fisadi huyu mnafiki anayejifanya kuchangia makanisa wakati akiwaibiwa watanzania. May you perish fisadi!

Mkuu Lowassa ni fisadi na mtu hatari?

Pasco anatushawishi tumpe urais hii Lowassa. Au ziko Lowassa mbili tofauti?
 
inaoneka wana jf wengi kazi zenu sio za kusafiri safiri ndio maana mchubuko wa gari mnaita amenusirika kufa...ya mtu hata tone la damu halijamtoka mnatangaza amenusirika kufa.?
Hebu stretch imagination yako kidogo tu.
Supposing magari yamegusana ina maana seperation distance kati ya magari hayo nin zero.

Sasa kama magari hayo yangingiliana hata kwa nusu futi, hapo unapata IMPACT!

Na matokeo ya impact ni kitu ingine kabisa maana dynamics zake ni magari yote mawili kuchanika at high speed, na liyeko ndani ni kudra ya Mola!
Bado nampa EL SIP, na atubu dhambi zake.
Hilo ni onyo.
 
We sio greatthinker to say so Mh, huyu ni mtu muhimu sana kwa mustakabari wa nchi yetu sahivi...jifunze kuona mbali.
Mungu ashukuliwe kwa kuepusha hili
Ni muhimu kwako kwa sabab ameoa kwenu,hivi na akili zangu namshukuru Mungu kwasababu Lowasa hajafa?? We vp,Mungu mwenyewe atanishangaa nadhani hata huyo shemeji yako pia ataona mi wa ajabu.
 
Mwacheni mzee wetu japo fisadi ana hekima za kutosha,nani mwingine fisadi anayekumbuka kurudisha japo kwa njia hii,mheshimuni tafadhali
 
.
Ashukuriwe Mungu kwa kukuokoa Lowasa.
Hivi kama Lowasa hakuwa fisadi haya majengo ya makanisa yangejengwa na nini?
Hela ya kifisadi tamu eti? hata miungu wanaimezea mate.
.
you made my day mkuu.
 
Waziri mkuu aliye jiuzulu Lowasa amenusurika kifo mkoani morogoro eneo la bwawani baada ya gari lake kukoswa koswa na basi na kukwaruzwa ubavuni upande wa kulia,hakuna yeyote aliyeumia.

Lowasa alikuwa akielekea morogoro kuchangia harambee ya ujenzi wa kanisa ambapo yeye na rafiki zake wamechangia shilingi milioni 18.

dah: inabidi na mimi nianze ujenzi wa kanisa nadhani nitapata fugu hapo,

ITV HABARI.

SAHIHISHO Mkuu. Kama nilimsikia vizuri ni kwamba Yeye na rafiki zake wamechangia 18,500,000/=
 
inaoneka wana jf wengi kazi zenu sio za kusafiri safiri ndio maana mchubuko wa gari mnaita amenusirika kufa...ya mtu hata tone la damu halijamtoka mnatangaza amenusirika kufa.?
Adimu sana mkuu vip kwema bimamu?
 
Pole EL. Mungu mkubwa. badilisha dereva huyo alizowea kutanguliwa na vimulimuli vya polisi
 
niliona hilo vx v 8 Kwa nyuma limewekwa stika ina picha ya Tb Joshua
 
Back
Top Bottom