Lowassa anusurika kifo Morogoro

Lowassa anusurika kifo Morogoro

pole yake Mungu amlinde anaone mabadiliko ya utawala yatakavyoleta neema baada ya mwaka 2015
 
Wewe utakua na matatizo kichwani mwako. Ama sijui unatumia nini sijui kufikiri.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia mabaya yampate binadamu mwenzie, haijalishi ana ubaya kiasi gani,
Huo sio utamaduni wetu waafrika, hasa Tanzania

Ni ushujaa wa keyboard warriors tu.

Kuna mambo mengine kufundishwa uzeeni ni vigumu mkuu.

Watu wanapigia makelele ufisadi bila kuelewa ufisadi kwa maana yake pana ni nini.
 
Hii sasa balaa , Kule Monduli anawanunulia pombe wamasai , Morogoro anachangia kanisa ! Nini lengo lake hasa ?
 
Mtu kapata minor road accident mnasema kanusurika kufa........! Hii maana ya kunusurika kufa sasa inapotoshwa

kanusurika kufa kwa sababu amepata minor road accident,sasa sijui ulitaka heading iweje ebu tusaidie.
 
inaoneka wana jf wengi kazi zenu sio za kusafiri safiri ndio maana mchubuko wa gari mnaita amenusirika kufa...ya mtu hata tone la damu halijamtoka mnatangaza amenusirika kufa.?
 
kanusurika kufa kwa sababu amepata minor road accident,sasa sijui ulitaka heading iweje ebu tusaidie.

Gari imeoneshwa kwenye tv imepigwa pasi kidogo tu maneno mengi utafikiri ilikuwa ajali ya kutisha
 
Mhe. Mbunge wa Monduli na aliyewahi kuwa. Waziri Mkuu Bw. Lowassa amenusurika na ajali akiwa anaenda kwenye harambee mjini Morogoro. Kwa mujibu wa ITV, Mhe. Lowasa amenusurika baada ya basi lililokuwa likifukuzia jingine kutaka ku"overtake" kulikwangua gari alilokuwemo Mhe.Lowasa ambae amekiri kwa sura ya unyonge kuwa kupona kwake ilikuwa ni mipango ya Mungu. Kauli hiyo ya Lowasa inaashiria uenda kulikuwa na mkono wa mwanadamu kwenye ajali hiyo ambapo kwa kuwa mkono wa Mungu ulikuwepo husingeweza kufua dafu!!

Pole sana mhe Lowasa.

Acheni polojo jamani...
 
Gari imeoneshwa kwenye tv imepigwa pasi kidogo tu maneno mengi utafikiri ilikuwa ajali ya kutisha

0k nimepata picha habari imekuzwa kwa sababu ya umaarufu wa EL,unajua siku zote mtu maarufu akipatwa na ata kajambo kadogo sana lazima katasemwa sana.
 
Mkuu Makamuzi,
Heshima mbele. Shule imebana sana Mkuu wangu. Huwa nachungulia tu humu mda wa kuchangia huwa sina. Hapa nilipo sasa hivi kuna desa nalikamua kimtindo nilipoona stimu zimepotea nimeamua nizifutue humu nikiendelea kulisoma. Pamoja sana Kamanda.

Salamu nyingi kwa Watanzania wenzangu.

Ujumbe: Endeleeni kuitwanga serikali, kuanzia Mtwara hadi Arusha. Kuanzia Kigoma hadi Morogoro. Kuanzia Mwanza hadi Mbeya, nk.

Tuko pamoja mkuu...kilio cha wengi ni sauti ya MUNGU
 
Last edited by a moderator:
hata kubanwa na mlango ni ajali lakini unakua hujanusurika kifo.

CONCERN:

kama unajua sana kiswahili ungekua BAKITA (baraza la kiswahili Tanzania)
 
Wabongo tungefurahi sana hili FISADI LINGEKUFA na MENGINE YAPO KWENYE TRENI TUOMBE NA YENYEWE ITOKEE AJALI KAMA YA DODOMA
 
Mwanangu kumbwa jinga Mahimbo Go tell it to the birds. Kama tuliweza kumlaani Idd Amin au ulikuwa mtoto then, kwanini tusimlaani huyu habithi wenu Lowassa? Ni wangapi wanakufa kutokana na ufisadi wa hawa washenzi wasio na utu hata chembe? Kam Mungu alimlaani shaitwan kwanini tusimlaani Lowassa? Nadhani wengi mnakuwa wanafiki kama siyo woga. I am still fatehr of all. The father who hates corruption more than his own kids. This is the father that I am. This is the father there is. Father of all.
Wewe unaonekana kama una chembechembe za ugaidi. Hivi unategemea ndugu wa waathirika wa Sept.11 wamuonee huruma Osama aliyesherehekea siku ndugu zao walipokufa? Jikumbushe Washington na New York zilivyowaka kwa shamra shamra na kushangilia baada ya kutangazwa kifo cha habithi Osama. Mahimbo umenichekesha eti huu si utamaduni wenu waafrika au Watanzania. Mbona akina Mobutu hawakuwa nao? Watanzania ulikutana nasi wapi kwa pamoja ukapata hii code kama siyo upuuzi na ujuha kutoa hitimisho la jumla? Nenda kamuabudie fisadi wenu lakini siyo sisi na akili zetuu.
Wewe utakua na matatizo kichwani mwako. Ama sijui unatumia nini sijui kufikiri.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia mabaya yampate binadamu mwenzie, haijalishi ana ubaya kiasi gani,
Huo sio utamaduni wetu waafrika, hasa Tanzania
 
halafu gari lake limebandikwa stika za TB-JOSHUA!za anointing oil,labda zinaweza kumsaidia kwani ndiye aliyemtabilia kuwa rais wa 2015!hata sio ajari ki vile gari imechubukiwa tu michubuko yenyewe ya kutafuta!mnajua ajari nyie?
 
Du hilo basi lingefanya kweli tungepunguza fisadi mmoja mkubwa na hatari! Mungu atusaidie ipatikane fursa nyingine ya kuondokewe na fisadi huyu mnafiki anayejifanya kuchangia makanisa wakati akiwaibiwa watanzania. May you perish fisadi!
Kama Mungu angehesabu maovu yako usingekuwa na dakika hata moja ya kuishi, kwanini ufurahi kifo cha mwingine Mungu mwenyewe hataki watu wafe katika dhambi wewe unani kumnyoshea kidole mwenzako hukumu hiyo si ya haki,tubu kwa Mungu.Pole mheshimiwa tunashukuru umepona na wengine.
 
Back
Top Bottom