idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
tupo binam, sema tunapishana tu majukwaa.... otonge otwambombo.!!!!Adimu sana mkuu vip kwema bimamu?
tupo binam, sema tunapishana tu majukwaa.... otonge otwambombo.!!!!Adimu sana mkuu vip kwema bimamu?
We sio greatthinkerto say so Mh, huyu ni mtu muhimu sana kwa mustakabari wa nchi yetu sahivi...jifunze kuona mbali.
Mungu ashukuliwe kwa kuepusha hili
Du hilo basi lingefanya kweli tungepunguza fisadi mmoja mkubwa na hatari! Mungu atusaidie ipatikane fursa nyingine ya kuondokewe na fisadi huyu mnafiki anayejifanya kuchangia makanisa wakati akiwaibiwa watanzania. May you perish fisadi!
Hivi hili jina la "Waziri Mkuu Mstaafu", ndio maana yake nini? Mtu ameachia ngazi kwa kashfa na bado wanampamba na jina hilo. Kwa nini wasimuite "Waziri Mkuu Aliye Jiuzulu kwa Kashfa"!!!???
Kila kukicha oooh Waziri Mkuu Mstaafu. Na akina Sumaye F, Salum A, Warioba tutawapa cheo gani?
Hebu stretch imagination yako kidogo tu.
Supposing magari yamegusana ina maana seperation distance kati ya magari hayo nin zero.
Sasa kama magari hayo yangingiliana hata kwa nusu futi, hapo unapata IMPACT!
Na matokeo ya impact ni kitu ingine kabisa maana dynamics zake ni magari yote mawili kuchanika at high speed, na liyeko ndani ni kudra ya Mola!
Bado nampa EL SIP, na atubu dhambi zake.
Hilo ni onyo.....
Inoanekana ulikua unakunya umerudi umekuta topic inazungumzia habarim ya lowassa ukaidandia kwa ajili ya kuwatumikia hao wanaokutuma,la msingi hakuna mtu anajua ataishi mda gani,kila nafsi itaonja mauti unaweza pia ukatangulia kufa kuliko huyo unamwombea mabayaAnaumuhimu gani mwizi mkubwa huyu? Nchi imekua kama mali yao bana! Atachangia sana makanisa na urais hapati.
We sio greatthinkerto say so Mh, huyu ni mtu muhimu sana kwa mustakabari wa nchi yetu sahivi...jifunze kuona mbali.
Mungu ashukuliwe kwa kuepusha hili
Nakbaliana na wewe kuwa huu wote ni wivu,ukiona mtu anadiriki kumtakia mwenzake mabaya ujue ana raha mbayaPole sana RAIS wangu wa awamu ya tano na waziri mkuu mstaafu wewe kanyaga twende achana na hao wenye wivu wa kike hatafika mbali.
Tononu lokolo.tupo binam, sema tunapishana tu majukwaa.... otonge otwambombo.!!!!
Umeona eeh! Au alikua peke yake huyu Fisadi? Pole kwa dereva kama alikuwepo kwenye tukio lol!Yani dereva wake ni kama panya tu, haongelewi humu.
Wewe kweli huna akili unawaza kunya tu. Hujui kuna watu wamekufa nchi hii kutokana na ufisadi wake? Unamtetea kwa sababu mamaInoanekana ulikua unakunya umerudi umekuta topic inazungumzia habarim ya lowassa ukaidandia kwa ajili ya kuwatumikia hao wanaokutuma,la msingi hakuna mtu anajua ataishi mda gani,kila nafsi itaonja mauti unaweza pia ukatangulia kufa kuliko huyo unamwombea mabaya
unaweza kutueleza tofauti kati ya kufa na kunusurika kifo.