Ushaidi upi unao utaka? Hujiulizi alijiuzuru kwa sababu gani? Wabongo mbona tunapenda vibaya?Watu wengine hata hawamwogopi mungu wakisikia ajali wao hufurahia je hilo basi lingeanguka ni watu wangapi tungewapoteza akiwepo mzee Lowasa?na kama kweli Lowasa ni fisadi kwanini basi msitoe ushahidi?ndugu zangu muwe na hofu ya Mungu unasheherekea kifo cha mwenzako wakati wewe hujui saa wala siku.Nina imani kabisa kua sio kila mtu anaeweza kufikiri ya kua ni lini kifo chake kitatokea ila cha kufanya ni kuwaombea watu kama hao wabadilike kitabia ili wawe na hofu ya mungu na heshima pia.Wa Tanzania ndugu zangu turudishe utamaduni wa kuheshimiana kama hapo mwanzo.AKsanteni na mungu awbariki.Poleni wote mliopata ajali na mungu awajalie mema zaidi.