Lowassa anusurika kifo Morogoro

Lowassa anusurika kifo Morogoro

Waziri mkuu aliye jiuzulu Lowasa amenusurika kifo mkoani Morogoro eneo la bwawani baada ya gari lake kukoswa koswa na basi na kukwaruzwa ubavuni upande wa kulia,hakuna yeyote aliyeumia.

Lowassa alikuwa akielekea Morogoro kuchangia harambee ya ujenzi wa kanisa ambapo yeye na rafiki zake wamechangia shilingi milioni 18.

dah: inabidi na mimi nianze ujenzi wa kanisa nadhani nitapata fugu hapo,

ITV HABARI.

hivi mtu akipata ajali ni lazima kufa?vichwa vya habari vingine bhana hovyooooo!
 
Aaa hana shabaha sijui aaaah!

halafu uzuri wa maisha ulivyo utasikia familia yako yote imekandamizwa na lori la mafuta lililokiatika tela, na hakijatoka kitu, halafu sijui utakuja hapa nakusema dereva amekuwa na shabaha!
 
halafu uzuri wa maisha ulivyo utasikia familia yako yote imekandamizwa na lori la mafuta lililokiatika tela, na hakijatoka kitu, halafu sijui utakuja hapa nakusema dereva amekuwa na shabaha!
Tatizo unakurupuka huelewi. Hapa tunamzungumzia FISAD SUGU. Ambae angekua china wala tusinge subiri ajali angenyongwa hadharani. Hafai hata bure huyu.
 
Lowasa hakufukuzwa uwaziri mkuu ila alistaafu kwa manufaa ya uma hivyo kuitwa waziri mkuu mstaafu siyo dhambi
 
Sasa kaanza kufilisika toka kuchangia milioni 200 mpake milioni 18? tena yeye pamoja na marafiki zake? mpaka uchaguzi atakuwa hana kitu... Hee Mungu mfilisi kabisa huyu FISADI ili sisi CDM tujichukulie nchi yetu kilainiiiiiii...
 
Pole Mfalme, Wanaokuchukia ni kwamba wana kuogopa, kwa sababu they will never like you, at least in this life.
 
Wewe kweli huna akili unawaza kunya tu. Hujui kuna watu wamekufa nchi hii kutokana na ufisadi wake? Unamtetea kwa sababu mama
yako nyumba ndogo yake nin? Mwizi ni mwizi tu kibaka we.
we ndo akili fupi huwezi mtakia mtu kifo kisa una mabwana wanakupakata na kukuweka mjini,leta hoja za mashiko siyo kutokwa povu bila sababu ya msingi,posts zako zinaonyesha ulivyo mvivu wa kufikiri,:A S-baby:
 
Najua huyo ni baba yako mdogo kwa hiyo si
wezi bishana nawe.
 
huna hata haya au nawe jizi nn?
 
Haikuwa a serious accident kukuza kuwa Fisad EL kanusurika kufa.
Mbona wanakuza hivyo....yaan jamaa na ufisad wake kaina atokee kwenye ajali.
 
Najua huyo ni baba yako mdogo kwa hiyo si
wezi bishana nawe.
we si umetumwa kutoa povu,basi na mimi niko online mpaka mwisho,sisi tunazungumzia swala la ajali we unatokwa na povu kwa issue tofauti ndo mana nakushangaa hata kama unatumikia mabwana zako at leatst hoja zako ziwe na mshiko
 
Hivi we unaakili gani kutetea mwiz? Hebu angalia ni wachangiaji wangapi wapo upande wako.
Mbona unakosa uelewa ww?
 
we si umetumwa kutoa povu,basi na mimi niko online mpaka mwisho,sisi tunazungumzia swala la ajali we unatokwa na povu kwa issue tofauti ndo mana nakushangaa hata kama unatumikia mabwana zako at leatst hoja zako ziwe na mshiko
kwanza kwanini unishambulie mimi wakati karibibia wachangiaji wote wana mawazo tofauti na yako? Inaonyesha jinsi gani ulivyo huna akili.
 
kwa ufupi tu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo
Hata watu wanakushangaa umekazana unamtetea mwizi. Ni mwananch gan tz asie elewa kama EL ni fisadi? Mbona una ng'ang'ania vi2 ambavyo havi
po? Nampa pole mwalimu aliekufundisha maana unaoneka una kichwa cha panzi.
 
Watu wengine hata hawamwogopi mungu wakisikia ajali wao hufurahia je hilo basi lingeanguka ni watu wangapi tungewapoteza akiwepo mzee Lowasa?na kama kweli Lowasa ni fisadi kwanini basi msitoe ushahidi?ndugu zangu muwe na hofu ya Mungu unasheherekea kifo cha mwenzako wakati wewe hujui saa wala siku.Nina imani kabisa kua sio kila mtu anaeweza kufikiri ya kua ni lini kifo chake kitatokea ila cha kufanya ni kuwaombea watu kama hao wabadilike kitabia ili wawe na hofu ya mungu na heshima pia.Wa Tanzania ndugu zangu turudishe utamaduni wa kuheshimiana kama hapo mwanzo.AKsanteni na mungu awbariki.Poleni wote mliopata ajali na mungu awajalie mema zaidi.
 
Ni mawazo yako na wote wanaofanana na wewe ila tu usione ushabiki na wewe unashabikia na unapotoa lugha chafu sio desturi ya watanzania na kama kweli umelelewa katika desturi na mila ya kwenu basi ujue kua laana ya matusi haitapiga chenga kwako pole sana ndugu
 
Back
Top Bottom