Go tell it to the birds. Kama tuliweza kumlaani Idd Amin au ulikuwa mtoto then, kwanini tusimlaani huyu habithi wenu Lowassa? Ni wangapi wanakufa kutokana na ufisadi wa hawa washenzi wasio na utu hata chembe? Kam Mungu alimlaani shaitwan kwanini tusimlaani Lowassa? Nadhani wengi mnakuwa wanafiki kama siyo woga. I am still fatehr of all. The father who hates corruption more than his own kids. This is the father that I am. This is the father there is. Father of all.
Wewe unaonekana kama una chembechembe za ugaidi. Hivi unategemea ndugu wa waathirika wa Sept.11 wamuonee huruma Osama aliyesherehekea siku ndugu zao walipokufa? Jikumbushe Washington na New York zilivyowaka kwa shamra shamra na kushangilia baada ya kutangazwa kifo cha habithi Osama.
Pole sana ndg ENL nakumbuka uchapakazi wako ulipokuja mwaka 2007 pale Kibakwe ulisimamia mapinduzi ya kumttoa madarakani mwenyekiti wa kijiji fisadi ndg.Gabriel Ngoitanile Mwasamila...Nakuombea upate urais ili uonyesshe makucha yako kwa mafisadi...Big upPole sanaMh ENL
Pole ya nn kwa fisadi
Anaumuhimu gani mwizi mkubwa huyu? Nchi imekua kama mali yao bana! Atachangia sana makanisa na urais hapati.We sio greatthinkerto say so Mh, huyu ni mtu muhimu sana kwa mustakabari wa nchi yetu sahivi...jifunze kuona mbali.
Mungu ashukuliwe kwa kuepusha hili
As a "Father of All" you have to learn to hate corruption in individuals without hating individuals.
It seems you cannot distinguish.
I am Father of All not " a Father of All". Methinks I know what I am doing. Being who I am, I will nary trade my moral fibres with coins. I insist that the death of Lowassa for his victims is more than welcome. And so be it.
Wewe ushajivua u "Father of All".
Ushamtosa mwanako Lowassa.
Lugha hii haina sio tu rehema za ubaba, bali hata ubinadamu ulio duni kabisa ambao unatakiwa kuthamini maisha ya kila mja, hata Osama Bin Laden.
Ni mjinga wa tafakuri na taamuli aso majazi tu anayeweza kukufuru kwa upotovu ulioghilibika kifedhuli kwa hamaniko hivi.
Maneno haya yanatoka kwa mtu asiye na rekodi ya kumpenda Lowassa, lakini mwenye kupenda jaha za ubinadamu zaidi.
Yeye EL ana ubinaadamu gani? Au hujui kupitia ufisadi wake waTanganyika wengi wanaendelea kupoteza maisha kwa kukosa tiba sahihi, elimu bora n.k.!!!???
Peleka kujipendekeza kwako kule Monduli sio hapa JF.
Wewe utakua na matatizo kichwani mwako. Ama sijui unatumia nini sijui kufikiri.Du hilo basi lingefanya kweli tungepunguza fisadi mmoja mkubwa na hatari! Mungu atusaidie ipatikane fursa nyingine ya kuondokewe na fisadi huyu mnafiki anayejifanya kuchangia makanisa wakati akiwaibiwa watanzania. May you perish fisadi!
Mhe. Mbunge wa Monduli na aliyewahi kuwa. Waziri Mkuu Bw. Lowassa amenusurika na ajali akiwa anaenda kwenye harambee mjini Morogoro. Kwa mujibu wa ITV, Mhe. Lowasa amenusurika baada ya basi lililokuwa likifukuzia jingine kutaka ku"overtake" kulikwangua gari alilokuwemo Mhe.Lowasa ambae amekiri kwa sura ya unyonge kuwa kupona kwake ilikuwa ni mipango ya Mungu. Kauli hiyo ya Lowasa inaashiria uenda kulikuwa na mkono wa mwanadamu kwenye ajali hiyo ambapo kwa kuwa mkono wa Mungu ulikuwepo husingeweza kufua dafu!!
Pole sana mhe Lowasa.
Huyu ndio atakuwa mkombozi wako !
mtu kapata minor road accident mnasema kanusurika kufa........! Hii maana ya kunusurika kufa sasa inapotoshwa
waziri mkuu aliye jiuzulu lowasa amenusurika kifo mkoani morogoro eneo la bwawani baada ya gari lake kukoswa koswa na basi na kukwaruzwa ubavuni upande wa kulia,hakuna yeyote aliyeumia.
Lowasa alikuwa akielekea morogoro kuchangia harambee ya ujenzi wa kanisa ambapo yeye na rafiki zake wamechangia shilingi milioni 18.
dah: Inabidi na mimi nianze ujenzi wa kanisa nadhani nitapata fugu hapo,
itv habari.