Wauaji hawawezi kufanya makosa ya kijinga ya kuacha trace wazi wazi namna hiyo ,watu wasichokijua ,wahalifu wana mbinu nyingi sana za kuwapoteza vyombo vya dola....Ni rahisi sana kuwapoteza askari kwa kutumia simu na kwa jinsi wasivyodig deep muhalifu anaweza akawingiza choo cha kike wakaenda kumkamata mtu siyo.(watu wa cyber wanajua hili ,siwezi kuweka wazi mbinu hii).
Kuna softwares/service kibao kwenye simu zinazoweza kubadili sauti ,kuna magic voice ,kuna software za kuitune sauti ifanane na mtu flani ,akikupigia unasikia kabisa sauti yake ,kuna software ukipigiwa inakuja namba ya mtu wako wa karibu kabisa ambapo umasave jina lake ila hapigi yeye.
Si rahisi wafanyakazi wenzake wenye motive ya kumuua wampigie simu kwamba wanakuja kumsalimia maybe a coincidence or muhalifu alitumia mwanya huo baada ya kusikia kwamba wafanyakazi wenzake wanakuja naye akatumia loophole hiyo hiyo kufanya yake.