Naona una wa underrate Tanpol sanaUsubirie TANPOL umekosea kazi
Unadanganywa na fake caseKuna post hapa JF kuhusu yule kijana aliyeenda jela kwa kumpa mshkaji wake geto lake wafanye yao na demu wake jamaa akiwa hayupo
Huko geto ukazuka ugomvi demu akapigwa akafa, jamaa akasepa mazima, kesi ikamwangukia mwenye geto lake akaenda lock up
Kwa maneno yake anasema kilichokuja kumuokoa kwa mujibu wa mpelelezi wake ni taswira ya mwisho kupitia macho ya marehemu... Ilimuonyesha mtu mwingine na sio yeye
Watakwambia kama wamehonga?Kuna post hapa JF kuhusu yule kijana aliyeenda jela kwa kumpa mshkaji wake geto lake wafanye yao na demu wake jamaa akiwa hayupo
Huko geto ukazuka ugomvi demu akapigwa akafa, jamaa akasepa mazima, kesi ikamwangukia mwenye geto lake akaenda lock up
Kwa maneno yake anasema kilichokuja kumuokoa kwa mujibu wa mpelelezi wake ni taswira ya mwisho kupitia macho ya marehemu... Ilimuonyesha mtu mwingine na sio yeye
Story za Vijiweni sio hawa wa TanzaniaNaona una wa underrate Tanpol sana
Kuna msemo wanasema Police ni useless mpaka watapokua wanakutafuta wewe ndo utajua hujui
Kama unaona hawapo makini jaribu uhalifu uone
Labda sio mganga wa Makonda!Hapa naona wahusika wanavyohaha KWA waganga kama ilivyo akili ya mwafrika, waganga kuleni pesa zao. Watamaliza waganga wote lakini lazima watadakwa tu, damu ya mtu huwa Ina sachi muhusika soon tutasikia wamedakwa.
Sio waganga.Labda sio mganga wa Makonda!
Huyu mtoto hajui waganga na mchango waoLabda sio mganga wa Makonda!
Alipokimbilia kwa majirani na kutaja namba za baba yake alizimia hapohapo au vipi? Hakuwaeleza majirani kilichotokea au hata kutaja wauaji?Kwenye hii kesi kamata kamata itakuwa kubwa si ajabu hata wasiodhaniwa watakuwa sehemu ya watuhumiwa
Kivipi mzee.? Mimi sijaelewa hapa yani kwenye macho ya marehemu unaona vitu?Kuna post hapa JF kuhusu yule kijana aliyeenda jela kwa kumpa mshkaji wake geto lake wafanye yao na demu wake jamaa akiwa hayupo
Huko geto ukazuka ugomvi demu akapigwa akafa, jamaa akasepa mazima, kesi ikamwangukia mwenye geto lake akaenda lock up
Kwa maneno yake anasema kilichokuja kumuokoa kwa mujibu wa mpelelezi wake ni taswira ya mwisho kupitia macho ya marehemu... Ilimuonyesha mtu mwingine na sio yeye
Ushamba Amna cheque ya billion 1 acha ushamba
Mambo ya optographyMkuu hili la "macho ya marehemu ku reveal ..." ni kwenye sinema tu.
Kwa hapo kastafu,Binti miaka 30?
Huo umri wake kutokuwa na mtoto wala kuolewa nao unaongeza maswali.Kwa tafsiri ya kutokuwa na mtoto na kutoolewa.... Maana hata baba yake alikuwa anamu address kwa hadhi ya 'binti'
Mkuu umemaliza kila kitu hapa.!FROM WADAU MUINE UZITO WA HII KESI
Ni hivi;
1. Kuna tetesi zinasema alikuwa amtambulishe mchumba wake kesho yake tu
Cheque ya 1bn?...alafu maelezo yaliyopo mbona aliacha kazi 1 month ago..wewe unasema alienda nyumbani kupumzika?..isije ikawa mnatumika kucirculate wrong info kwa manufaa ya wengine wanaohusikaNukuu kutoka chanzo kisicho halisi:
Inasemekana alinayehisishwa na kifo chake ni Boss wake …
Aliaambiwa afoji check ya 1B isemekane imeandikwa kimakosa ili hiyo hela isionekane Bank .. Lakin Binti alikataa..
Boss alimsumbua akakosa amani akaomba ruhusa kuja Kibaha kuisalimia familia yake .. Lakin alikuwa akiwasiliana na Mchumba wake nakumpa taarifa hizo..
Alipokuja Kibaha alimshirikisha Baba yake Mzazi ambaye ni Doctor Mkuu Mwimbili Dar. Siku chache kurudi nyumban Boss wake alimpigia Baba yake huyo Binti kumtaka amwambie mwanaye aache kazi ndani ya masaa 24 . Baba ake akahoji kwakosa gani mwanangu alilolifanya?
Lakin siku ya pili alipigiwa simu na mmoja wa wafanyakazi wenzake Kahama kumjulisha wamekuja Dar kikazi wanapita kibaha wamsalimie… According to that .. Alipokea simu kwamba wamefika wakutane alipotoka ndyo hakurudi tena ..
Kupelekwa porini na kuchomwa moto na sindano za sumu .. Alijitahidi kujikongoja mpka eneo la makazi ya watu .. Nakuonba msaada apigiwe simu Baba ake .. Toka hapo alikata kauli na kukimbizwa Mwimbili.. na siku chache kuaga dunia..
Inasemekana Boss wake ameshakamatwa sheria itafata mkondo wake ..
Mungu ailaze roho ya marehemu Martha.
Mwisho wa Nukuuu.