Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
Ndiyo yeye huyo.
Ndiyo yeye huyo.
Et app,App kitu gani,hakuna kitu cha hovyo kuhack kama system.Nimekuonyesha App unaijua?
Kama shngapDada yake anaitwa tuno towo kavishe
Huyo mumewe kavishe alikuwa anafanya kazi airtel,ni mdogo wake na kavishe wa TBL
Sasa huyo tunu alikuwa muajiriwa wa bank miaka ya nyuma,alipiga mpunga mrefu sana akahonga mahakimu kesi ikafutwa,yeye na mumewe sasa wametakatisha zile pesa wanabiashara kibaoo mjini hapa
Yeye huyo aliwapiga mamilioni hawakuamini
Nimechoka kubishana na mtoto Rudi shuleEt app,App kitu gani,hakuna kitu cha hovyo kuhack kama system.
Kama control number zinahakiwa sembuse hivyo vi app.
Usicheze na watu.
AlipigajeYeye huyo aliwapiga mamilioni hawakuamini
Huna maarifa ujui kitu kuhusu dunia inavyokwenda,pia huna chochote unachokijua kuhusu crime and investigation industry.Nimechoka kubishana na mtoto Rudi shule
Mpunga mrefu sana bloo we fikiria kesi ilipoisha tu wakanunua dicovery 4Kama shngap
Mkuu ni Bank gani kwa sasa inaruhusu kuandika cheque ya zaidi ya 1bn na ikapita? Mbona hii scenario inakataa? Ofisa mikopo aandike cheque ya 1bn? Sasa kazi ya Wahasibu itakuwa nini na ile sheria ya BOT ya kutokuruhusu kuprocess cheque ya zaidi ya 10M zaidi ya kufanya TISS tranfer?Taarifa zinasema Bosi wake Bernadeta anajua kila kitu kwani ndiye alikuwa anamlazimisha kuandika hundi ya 1b kimakosa ili isionekane kwenye akaunt za benki lakini binti alikataa. mchezo huo aliufanya na watu wa madini.
Binti alikuwa anamjuza mchmbake kila kitu na mwisho akaamua kuja kibaha kwa wazazi na kuwaeleza yote na kua anataka aache kazi lakini wazazi wakamshauri asiache bali aliripoti Head office, gafla baba yake alipigiwa simu na kuambiwa amwambie mwanae aandike 24hrs resignation notice, mzazi akahoji kwanini......mwisho alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake kuwa wanakuja dar kikazi na kuwa watamitia kibaha wamsalimie.........................................
Swali gumu hilo we jua kesi ilikuwa kisutu hapo.Alipigaje
Hebu fafanua.Ukiwa Sudan khatoum na Rwanda kudivert call hauwezi kabisa, ukiwa bongo unaweza kudivert kwa njia nyingi, ningeweza kukufafanulia jambo juu ya hilo lakini ngoja niache kwanza
Ni tiss sio chequeMkuu ni Bank gani kwa sasa inaruhusu kuandika cheque ya zaidi ya 1bn na ikapita? Mbona hii scenario inakataa? Ofisa mikopo aandike cheque ya 1bn? Sasa kazi ya Wahasibu itakuwa nini na ile sheria ya BOT ya kutokuruhusu kuprocess cheque ya zaidi ya 10M zaidi ya kufanya TISS tranfer?
Ana haha tu anapotoshwa na waganga,hio crime simple yenye starting point footage za kutosha kutrace,hata mwanafunzi wa crime and investigation anaifanya vizuri na anawapata wauaji.Mkuu kwani wewe ni muhusika au why una comment hivi😳
Kwa hiyo pale Kunduchi yale Maduka na ile saloon ni geresha tu? Ama kweli mjini mipangoDada yake anaitwa tuno towo kavishe
Huyo mumewe kavishe alikuwa anafanya kazi airtel,ni mdogo wake na kavishe wa TBL
Sasa huyo tunu alikuwa muajiriwa wa bank miaka ya nyuma,alipiga mpunga mrefu sana akahonga mahakimu kesi ikafutwa,yeye na mumewe sasa wametakatisha zile pesa wanabiashara kibaoo mjini hapa

Nakubaliana na wewe.Nimecomment kulingana na maelezo ya alieyeleta hii story ya Tunu.Usiwachukilie hivyo huna proof
Discovery Kwa idadi nne au hapo ni billions sio millions tenaMpunga mrefu sana bloo we fikiria kesi ilipoisha tu wakanunua dicovery 4
Wakafungua uwakala wa fedha.
Duka la nguo kali.
Duka la vyakula.
Mpaka hapo si chini ya milioni 500
Sasa walihonga ngapi ?
Walisave ngapi?
Unaweza usikamatwe.Halafu sijui nani huwa anawapotosha eti kununua simu mpya line mpya hautokamatwa? Sema tu labda mamlaka ziache tu sababu ya udogo wa ishu.
We kanunue uliyotengeneza mwenyewe kasajili hata kuzimu achilia congo, though unalink na simu ya mlengwa utadakwa tu.
Yes si unaona watu wanavyofunguka source zinaanza kupatikana hata USA utumia media kuwanasa wahalifu,ukitangaza dau tu muuaji unampataSuala likishakuwa kwenye media mara nyingi utekelezaji wake unakuwa wa haraka
Aya poa poaNimebadili username bana
Nitakuja chemba
Proof ipi mkuu mimi nina proof kesi ilikuwa kisutu hapo,hawakuwa na kitu mpaka kesi ilipofutwa,hii sio story ya kutunga,nina jua siri nyingi mjini hapaUsiwachukilie hivyo huna proof