Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

Chonde conde hawa waliofanya kitendo hiki kama watapatikana basi wasifunguliwe mashtaka yeyote Bali watajane wote mwanzo Hadi mwisho alafu na wao wapigwe kibiriti mbele ya camera .

Tusilee ujinga kama huu kwa kuwafunga kifungo Cha maisha.

Wanatakiwa kufa kama wao walivyo ua
Anzisha utawala wa kiislam uone raha yake ilivyo
 
Usicheze na kahama na kahama kuna matajiri alafu wenye roho za ajabu?
Pili, huyu dada alikuwa mapepe?
Tatu, kabla ya kwenda kibaha alifukuzwa kwa sababu za kiofisi ijulikani ni utovu au mengine kiofisi.
Nne hakuwa na cheo hiko ni Afisa mikopo.
Tano, matukio ya kahama kesi za kufanyiana unyama zipo sana sio mapenzi,sio biashara na n.k.
Uzuri wa huyu dada inaonyesha alikimbia kuofia vitisho kwa mwanamke mwenzake au mapenzi?
Kesi ya Mapenzi ukishakimbia eneo la tukio hakuna anayepoteza muda kukufuata ukishakimbia mbali!! Huku mhujumiwa pia akijua utatafuta wako na utaachana na wakwake!! Kuna statement ya mwajiri wake kumkana Kwa maelezo aliacha kazi mwezi mmoja!! Anyway labda alihofia ataelekezwa agaramie mazishi (kidding) ila inaonekana Kuna pa kuanzia
 
Hawa wanaonunua simu mpya kariakoo, wanasajili na line mpya za voda wanajua hawatofahamika! Wanasahau kuna operation ya simu feki ilipita nchi nzima, wanasahau kwenda congo au msumbiji kununua simu ambazo imei zake haziwezi kua traced halafu waende congo au Rwanda kusajili line za tigo au airtel ili mawasiliano kwanza kutafutwa mtu asumbuke, wahalifu wa nchi maskini huacha alama kizembe sana ndio maana hukamatwa kama kuku
Umwnifumbua macho na kunipatia mbinu za kijasusi
 
Namba feki nayo hupiga Kwa numba halisi, say ya marehemu, pia mwenye namba feki hupigiwa na mwenye namba halisi kupewa maelekezo, hivyo ni rahisi sana kufuatilia namba feki!! Lazima kunakuwa na tree!! Sioni ugumu WA kuwakamata wauaji!! Anyway watu wanajisaulisha sana kumuita mlengwa ili uje kumuangamiza lazima utumie njia halisi (physical) ila by other means lazima utumie technolojia!! Na Dunia ya Sasa technology Haina Siri asilani
 
Kama walitaka aishi wangechukua mafuta ya taa ya kutosha wakaweka kwenye vile vichupa vya mafuta ya cherehani halafu wakahakikisha wanamwagia masikio yote mawili asingesikia milele hadi anakufa au wangemfanya kua bubu kabisa yaani jamaa wapuuzi kweli kweli
Bubu ndio hasikii?umechapia kidogo
 
Namba feki nayo hupiga Kwa numba halisi, say ya marehemu, pia mwenye namba feki hupigiwa na mwenye namba halisi kupewa maelekezo, hivyo ni rahisi sana kufuatilia namba feki!! Lazima kunakuwa na tree!! Sioni ugumu WA kuwakamata wauaji!! Anyway watu wanajisaulisha sana kumuita mlengwa ili uje kumuangamiza lazima utumie njia halisi (physical) ila by other means lazima utumie technolojia!! Na Dunia ya Sasa technology Haina Siri asilani

Kila unachoona kwenye teknolojia unafahamu kuna njia za kuepuja usijulikane, hizo iphone zina setting za security ambazo hata maongezi yako hayawezi kua recorded popote na watu wakitrace wanakuta nill! Sema wahalifu wetu wa kutegemea matunguli wanadakwa tu kirahisi hawa hata haina shida
 
Back
Top Bottom