Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

Cheque ya 1bn?...alafu maelezo yaliyopo mbona aliacha kazi 1 month ago..wewe unasema alienda nyumbani kupumzika?..isije ikawa mnatumika kucirculate wrong info kwa manufaa ya wengine wanaohusika
Kuna nukuu mzee Maganga

Na kuna mwisho wa nukuu.

Sasa hapo unaweza kuchuja ili na wewe usitumike. Ila hitimisho ni hili halihitaji wewe usomee course hakuna tukio litatokea jeshi la Polisi lisijue huwa ni suala la muda tu. Nimeweka sawa maana mtu anasoma na majibu yake kabla ya kuelewa.
 
Una maana yote ya kina Ben, Azory, LIssu, jamaa kwenye viroba nk, hawa jamaa wanatucheza shere tu?
 
Marehemu awezi kusemwa vibaya.ila aliachishwa kazi kwa sababu ( ).
Cheo chake ni afisa mikopo?.
Mdada mzuri aliyesumbua wanaume mpaka kumiliki gari aina toyota ratics new model.
Nyuma ya pazia Kuna mengi watu wasiyoyajua mpaka kufika hatua mtu kukufanyia unyama basi elewa fika kuna sababu za kinyama zilizopelekea hayo kutokea,

Equal & Opposite Reactions: Newton's Third Law of Motion

It states, "For every action, there is an equal and opposite reaction."
 
Kuna nukuu mzee Maganga

Na kuna mwisho wa nukuu.

Sasa hapo unaweza kuchuja ili na wewe usitumike. Ila hitimisho ni hili halihitaji wewe usomee course hakuna tukio litatokea jeshi la Polisi lisijue huwa ni suala la muda tu. Nimeweka sawa maana mtu anasoma na majibu yake kabla ya kuelewa.
Google unsolved case
 
Huyu kuna kitu alikifanya kwa mwenzie huko Shinyanga sema alietendewa hakutaka kumuachia Mungu akaamua kufanya retaliation. Huenda ni kwa mwanaume wake au kwa co-workers wenzake.

Alipangiwa Revenge mission kabisa na inaonesha mtu aliyetekeleza hilo alikuwa anamjua kabisa na kashasoma mazingira ya kwao so akaamua kuwapanga wajuba.

Ukiangalia psychologically aspects mzee wake kumuita binti yake kuwa alikuwa mpambanaji has a lot to do na tabia zake. Wanawake wengi wapambanaji wana ile aptitude ya "Getting it regardless" na "Wacha iwe mbaya tu" which means in case I we kwenye maslahi atahakikisha anagrab benefits zote pekeyake na kama atashindwa basi ataharibu. Hii spirit iko kwa watoto wengi wa kichaga.
umeongea ukweli kabisa.ndivyo wadada wa kichaga walivyo
 
Mshana picha yake haujaiona?
Ipo check post za mwanzoni
JamiiForums1682956490.jpg
 
Back
Top Bottom