Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

Huyo aliyepiga simu ya mwisho kumwambia atoke nje ya kanisa ndo amechomesha.. katika ulimwengu wa sasa hakuna kitu rahisi kumshikisha mtu kama simu. Professional wangempiga bomba tu wapite hivi..

Unataka wabadili magari rangi, waweke namba za magari chasis au wabandike namba za IT halafu amiminiwe risasi then mbele zinaweka namba og na kupuliziwa rangi kwa spray mpya kabisa kupoteza ushahidi kama south, huku wakiwa na dark mask, ili ushahidi upotee milele au unatakaje?
 
Kama walitaka aishi wangechukua mafuta ya taa ya kutosha wakaweka kwenye vile vichupa vya mafuta ya cherehani halafu wakahakikisha wanamwagia masikio yote mawili asingesikia milele hadi anakufa au wangemfanya kua bubu kabisa yaani jamaa wapuuzi kweli kweli
Sasa kumfanya mtu bubu au kutosikia si anaweza kutoa taarifa kwa kuandika
 
Hivi unajua mkimchukua binadamu mzima, mmoja akashika mabegani na mwingine akashika miguuni mkimchekecha tu kama chekecheo mara 45 hamalizi siku saba anakufa akiwa amelala?
Hoja yangu ni kuwa mtu anaweza akafanywa asiongee au kutosikia ila bado akawa anatoa taarifa kwa maandishi
 
Back
Top Bottom