Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

Nimesoma mahala, hii wanasema Boss wake alimwambia aandike cheque ya 1B.
Halafu aseme ilikosewa, ili hizo hela zisionekane bank. Inaonekana martha hakutaka kulitekeleza.

Akawa anamsumbua, akaomba ruhusu kwenda kwao Kibaha. Inasemekana, boss wake akampigia Baba mzazi wa Martha, akamwambia amwambie mtoto wake, aache kazi ndani ya masaa 24.

Katika yote hayo yaliyokuwa yanaendelea, Martha alikuwa akiwasiliana na Baba yake na mchumba wake.

Wakasema siku ya tukio, alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake, wa Shinyanga. Kuwa wanasafiri watapitia hapo Kibaha, wamsalimu mara moja. Alipotoka hakurudi tena.
Inavyosemakana boss anashikiliwa.
*Nimesoma sehemu tu, nikaileta kama ilivyo.
Duh
 
Sahihi ila kama umesoma taarifa wanasema walimdunga kwanza sindano ya sumu badae kuhakikisha wanapoteza ushahidi wakamwasha moto na hii ndo ilomfanya ajitetee kwa kukimbia
Inasemekana majeraha ya moto hayakua makubwa
Au hospital walimfanyia morphine marehemu kurelieve the pain?
 
Nimesoma mahala, hii wanasema Boss wake alimwambia aandike cheque ya 1B.
Halafu aseme ilikosewa, ili hizo hela zisionekane bank. Inaonekana martha hakutaka kulitekeleza.

Akawa anamsumbua, akaomba ruhusu kwenda kwao Kibaha. Inasemekana, boss wake akampigia Baba mzazi wa Martha, akamwambia amwambie mtoto wake, aache kazi ndani ya masaa 24.

Katika yote hayo yaliyokuwa yanaendelea, Martha alikuwa akiwasiliana na Baba yake na mchumba wake.

Wakasema siku ya tukio, alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake, wa Shinyanga. Kuwa wanasafiri watapitia hapo Kibaha, wamsalimu mara moja. Alipotoka hakurudi tena.
Inavyosemakana boss anashikiliwa.
*Nimesoma sehemu tu, nikaileta kama ilivyo.
Cheque ya 1bn inaandikwa na meneja na hiyo cash kutoka mpka makao makuu wanakua wanajua..kwa afisa mikopo wa branch ndogo kama kahama sidhani kufanyika hilo
 
Nimesoma mahala, hii wanasema Boss wake alimwambia aandike cheque ya 1B.
Halafu aseme ilikosewa, ili hizo hela zisionekane bank. Inaonekana martha hakutaka kulitekeleza.

Akawa anamsumbua, akaomba ruhusu kwenda kwao Kibaha. Inasemekana, boss wake akampigia Baba mzazi wa Martha, akamwambia amwambie mtoto wake, aache kazi ndani ya masaa 24.

Katika yote hayo yaliyokuwa yanaendelea, Martha alikuwa akiwasiliana na Baba yake na mchumba wake.

Wakasema siku ya tukio, alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake, wa Shinyanga. Kuwa wanasafiri watapitia hapo Kibaha, wamsalimu mara moja. Alipotoka hakurudi tena.
Inavyosemakana boss anashikiliwa.
*Nimesoma sehemu tu, nikaileta kama ilivyo.
Haya King Kong III pitia na hapa
 
Haya King Kong III pitia na hapa

Doooohhh mimi niliwaza kivingine kwamba kama aliwarusha kifedha wenzake kazini baada ya kupiga deal ,kumbe kwa hapa inaonekana alikataa kupiga deal.

Yaani ukifuatisha series ya matukio yake kabla ya kifo lazima utajua kwamba chanzo cha kifo ni issue za kazi tu....Kitendo cha kuacha kazi mwezi mmoja then linatokea hilo tukio obvious utajua issue ni nini.
 
Nina swali dogo tu,hivi inaingia akilini kweli Ofisa mikopo aambiwe kusign cheque ya 1 bn? Ni Bank ipi kwa sasa inaruhusu miamala ya zaidi ya 10M kwa cheque? Au alileyeleta hii scenario alimaananisha Ofisa Mikopo huyu (Marehemu) alilazimishwa ku endorse transfer ya 1bn.

Watu wa Bank wanaweza kutusaidia hapa,mipaka ya kazi za ofisa wa Mikopo inaruhusu mpaka maswala ya kusign cheque/ endorse transfer au yeye anaishia tu kwa Paper works za process nzima ya mikopo?
Afisa mikopo hawezi kusign cheque lazima iende kwa meneja wa tawi
 
Mimi wasiwasi wangu, huenda hata hawakuwa kweli wafanyakazi wenzake. Ni hiyo miuaji ikajifanya ni wao. Labda wanajua majina ama wamepewa. Siku ya kufa aah asingetoka Kanisani, mpaka mwisho aondoke na familia.

Wauaji hawawezi kufanya makosa ya kijinga ya kuacha trace wazi wazi namna hiyo ,watu wasichokijua ,wahalifu wana mbinu nyingi sana za kuwapoteza vyombo vya dola....Ni rahisi sana kuwapoteza askari kwa kutumia simu na kwa jinsi wasivyodig deep muhalifu anaweza akawingiza choo cha kike wakaenda kumkamata mtu siyo.(watu wa cyber wanajua hili ,siwezi kuweka wazi mbinu hii).

Kuna softwares/service kibao kwenye simu zinazoweza kubadili sauti ,kuna magic voice ,kuna software za kuitune sauti ifanane na mtu flani ,akikupigia unasikia kabisa sauti yake ,kuna software ukipigiwa inakuja namba ya mtu wako wa karibu kabisa ambapo umasave jina lake ila hapigi yeye.

Si rahisi wafanyakazi wenzake wenye motive ya kumuua wampigie simu kwamba wanakuja kumsalimia maybe a coincidence or muhalifu alitumia mwanya huo baada ya kusikia kwamba wafanyakazi wenzake wanakuja naye akatumia loophole hiyo hiyo kufanya yake.
 
Back
Top Bottom