Duh Aisee
JF-Expert Member
- Jul 28, 2025
- 917
- 563
Sema nilipita mwezi wa 6 ile barabara ikimaliziwa watu watasogea tu.Hatari sana lile Pori labda lipo kwa Kazi maalum kama pori la MALINDI,MABWEPANDE MSITUNI kwa Ulimboka etc
Sema nilipita mwezi wa 6 ile barabara ikimaliziwa watu watasogea tu.Hatari sana lile Pori labda lipo kwa Kazi maalum kama pori la MALINDI,MABWEPANDE MSITUNI kwa Ulimboka etc
Kwani bado lami haijakamilika hadi bagamoyo road?Sema nilipita mwezi wa 6 ile barabara ikimaliziwa watu watasogea tu.
Kipindi napita ilikuwa bado, juzi juzi sijatumia hiyo njiaKwani bado lami haijakamilika hadi bagamoyo road?
Mkandarasi KINGS yuko siteKwani bado lami haijakamilika hadi bagamoyo road?
Anazingua sana ,mimi nilipita kama miaka miwili nyuma ilikuwa inajengwa yaani mpaka sasa hawajamaliza? Bongo kila sehemu shida tu hakuna kwenye unafuu.Mkandarasi KINGS yuko site