Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

MNAJUA HIII?
Screenshot_20230313-160008.jpg
 
Dada yake marehemu pia aliwahi kufanya kazi bank alipiga dili la mamilioni kidogo afungwe nadhani anaitea tunu kavishe,hao wadada ni wapenda hela sana asikudanganye mtu
Ni huyu Tunu Towo Kavishe mwenye maduka pale Kunduchi njia panda ya kwenda Wet n Wild?
 
Mzee hawa wa tuma ela wamesumbua miaka nenda Rudi na hawashikwi

Kwa Tanzania hiiii na Dunia hiii watu ni weupe sana

Fikiria kigogo alivyosumbua na mpaka Leo Amna mwenye clues yeyote

Eheeee ndiyo hivyo wanatumia loopholes kufanya yao ,kigogo ni hatari anajua tech vizuri ,mwanzo walijua ni mkenya ,kumbe aliikuwa anatumia VPN akaset IP servers za kenya.... 😀
 
Ni huyu Tunu Towo Kavishe mwenye maduka pale Kunduchi njia panda ya kwenda Wet n Wild?
Huyo huyo aliiba mamilioni bank fulani nusu afungwe,mumeww ni mfogo wake na kavishe wa TBL wanaendesha landrover discovery,hao madada ni noma kwenye hela tusimtetee sana marehemu maana dada yake alichokifanya miaka iliyopita mmmm
 
Huyu kuna kitu alikifanya kwa mwenzie huko Shinyanga sema alietendewa hakutaka kumuachia Mungu akaamua kufanya retaliation. Huenda ni kwa mwanaume wake au kwa co-workers wenzake.

Alipangiwa Revenge mission kabisa na inaonesha mtu aliyetekeleza hilo alikuwa anamjua kabisa na kashasoma mazingira ya kwao so akaamua kuwapanga wajuba.

Ukiangalia psychologically aspects mzee wake kumuita binti yake kuwa alikuwa mpambanaji has a lot to do na tabia zake. Wanawake wengi wapambanaji wana ile aptitude ya "Getting it regardless" na "Wacha iwe mbaya tu" which means in case I we kwenye maslahi atahakikisha anagrab benefits zote pekeyake na kama atashindwa basi ataharibu. Hii spirit iko kwa watoto wengi wa kichaga.
Taarifa zinasema Bosi wake Bernadeta anajua kila kitu kwani ndiye alikuwa anamlazimisha kuandika hundi ya 1b kimakosa ili isionekane kwenye akaunt za benki lakini binti alikataa. mchezo huo aliufanya na watu wa madini.
Binti alikuwa anamjuza mchmbake kila kitu na mwisho akaamua kuja kibaha kwa wazazi na kuwaeleza yote na kua anataka aache kazi lakini wazazi wakamshauri asiache bali aliripoti Head office, gafla baba yake alipigiwa simu na kuambiwa amwambie mwanae aandike 24hrs resignation notice, mzazi akahoji kwanini......mwisho alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake kuwa wanakuja dar kikazi na kuwa watamitia kibaha wamsalimie.........................................
 
Huyo huyo aliiba mamilioni bank fulani nusu afungwe,mumeww ni mfogo wake na kavishe wa TBL wanaendesha landrover discovery,hao madada ni noma kwenye hela tusimtetee sana marehemu maana dada yake alichokifanya miaka iliyopita mmmm
Kama ni hao nawafahamu vizuri sana,utawakuta dukani yeye na mumewe na Discovery yao wamepaki nnje ya maduka yao.Kumbe wapigaji tu
 
Tupe scenario
Dada yake anaitwa tuno towo kavishe
Huyo mumewe kavishe alikuwa anafanya kazi airtel,ni mdogo wake na kavishe wa TBL
Sasa huyo tunu alikuwa muajiriwa wa bank miaka ya nyuma,alipiga mpunga mrefu sana akahonga mahakimu kesi ikafutwa,yeye na mumewe sasa wametakatisha zile pesa wanabiashara kibaoo mjini hapa
 
Back
Top Bottom