Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

Dah!!! Kuna mda ukijalibu kuwaza binadam anavyogeka na kuwa na roho ya ukatili kiasi hiki hata majawabu unakosa Basi TU unamuachia aliye juu Ila vile wote pua zetu zinatazamana na mchanga Basi wote aridhi inatuhusu ni suala la mda tu...... Ila Kama wao pengine pua zao zinatizama mbingu Basi watapaa
 
Basi taarifa ya kwanza kuhusiana na kifo chake ina mapungufu makubwa kwakuwa anatambulishwa kama mfanyakazi ngazi ya uhasibu bank ya BOA Shinyanga/Kahama


Taarifa ya Jeshi la Polisi Kibaha

JESHI la Polisi mkoani Pwani limesema mhasibu wa benki ya BOA tawi la Kahama ameuawa kwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto.

Inadaiwa kwamba mhasibu huyo alikuwa amefika Kibaha kwa wazazi wake.

Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Pius Lutumo amemtaja marehemu ni Martha Towo (30) mkazi wa Kwa Mbonde wilayani Kibaha.

Kamanda Lutumo aliwaeleza waandishi wa habari mjini Kibaha jana kuwa chanzo cha mauaji hakijafahamika na wanaendelea kuchunguza.

Inadaiwa kuwa Martha alitekwa jioni ya Machi 3 mwaka huu na saa 4:30 usiku siku hiyo hiyo alikutwa akiungua katika maeneo ya Mitamba Kata ya Pangani.

“Watu wasiojulikana walimteka kisha kummwagia mafuta na kumchoma moto,” alisema.
Kamanda Lutumo alisema taarifa zilitolewa na wasamaria polisi wakafika eneo la tukio na kumchukua kisha kumpeleka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani ya Tumbi.

“Mgonjwa alihamishiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa uangalizi zaidi wa kimatibabu lakini alifariki Alhamisi Machi 9,” alisema.

Lutumo alisema kutokana na utata kuhusu tukio hilo, polisi wanaendelea kuchunguza chanzo cha Martha kutekwa na kuchomwa moto hadi akapoteza maisha.


Halafu ndio imeongezewa hii

Wakati Jeshi la Polisi mkoani Pwani likithibitisha kutokea kwa kifo cha Martha Towo (30) ambaye aliuawa kwa kuchomwa moto baada ya kutekwa usiku wa Machi 3 mwaka huu wilayani Kibaha mkoani Pwani, Bank of Afrika (BOA) imesema, marehemu alishaacha kazi karibu mwezi mmoja uliopita

Inapokuja issue ya accurate info hao jamaa zetu wanajuaga vichwa vyao Mkuu mshana
 
Hapo wanakaa watu wanne mezani, kila mmoja na karatasi nyeupe na penseli sio kalamu ya wino, then kuna mtu wa tano hua anitwa analyst anakua anaeleza kutokea kwanza shinyanga yule mtu aliishije huko, atakuja analyst wa pili wa kibaha ataeleza wale wanne watandelea kuchora michoro ya penseli kila mtu kivyake, halafu baadae kuna kitu tunaita added information hizi hutoka idara mbalimbali ikiwamo labda TISS , nazo zinachorwa wakati huo wahisiwa wa mwanzo walishakamatwa muda mrefu yaani afisa upelelezi jeshi la polisi wilaya atashirikiana na RCO na RSO wake issue mapema mchana kweupe baadhi ya waliokamatwa watafirwa na kufinywa mapumbu hapo anti robery ndio watahusika na zoezi ay watapigwa shot za matakoni hadi mambo yataisha within 30 days kesi mahakamani tayari upelelezi utaendelea kukamilishwa taratibu kwa kuua mawasiliano ya wahusika mmoja baada ya mwingine hadi wajichuje wenyewe kama kuku wenye mdondo pumbavu zao, wahalifu hao wa huyo binti

Careful. Tread careful!

Remember this girl was not a SAINT ndio maana in the long run akajikuta in that spot... So untimely!

Wachaga wana nini...? Every now and again wao tu ndo wanauwawa au kuuana in a very satanic model... E.g gunia la mkaa kule kigamboni, bastora sinza, kuchomwa kwa petrol kimara kama uyu tu alivyokua drugged and set to flame by employing flammable liquid dah u know the killer alikusudia... FIRST DEGREE MURDER u know!

As beautiful as a coiled cobra... Am sure this damsel ubaya aliuanza yeye but the other side wasn't lazy at returning the favor.

Rest in peace.
 
Tupunguze usahaulifu ,. Kigamboni gunia mbili za mkaa zilimchoma mtu ,wahini kutoa taarifa polisi Ili msaidiwe
 
Dada yake anaitwa tuno towo kavishe
Huyo mumewe kavishe alikuwa anafanya kazi airtel,ni mdogo wake na kavishe wa TBL
Sasa huyo tunu alikuwa muajiriwa wa bank miaka ya nyuma,alipiga mpunga mrefu sana akahonga mahakimu kesi ikafutwa,yeye na mumewe sasa wametakatisha zile pesa wanabiashara kibaoo mjini hapa
Tunu towo kwao ni arusha na wamezaliwa dada wawili na kaka mmoja,mdogo wa tunu wa kike ni lawyer ana ofisi yake ya sheria arusha.
Kwahiyo sio familia moja ni jina tu
 
kahama ni branch ndogo yenye trans kubwa may be kuliko branch zote zq BOA
Hapana naijua sana hiyo branch iko kwenye jengo la posta,bank zenye nguvu kahama ni crdb na nmb...wauza dhahabu,mazao,waganda ndio wateja wenye cash kubwa hapo kahama.2019 nlikua na hudhuria sana hapo boa kibiashara hakuna ubusy wowote
 
Mzee wake alisema kwamba Martha aliacha kazi kama siku chache zilizopita na kuanza kufanya shughuli zake ,waanzie pia kazini kwake huenda alipiga mshindo akawarusha wenzake na inaoenekana alikuwa mtu wa madili mengi maana mzee wake anasema alikuwa na mali.

Kama alivyosema mshana ,case hii ni very simple kwa wapelelezi maana ina alama nyingi sana za kufatilia wahusika wa mauaji.
Kuna asilimia nyingi sana huyu bibie alipiga mshindo halafu kawazunguka wenzake..... nadhani pia polisi wataangalia namna alivyoacha kazi.

Siamini kama ni mapenzi.... hii issue itakuwa ni pesa tu inahusika
 
Huyu kuna kitu alikifanya kwa mwenzie huko Shinyanga sema alietendewa hakutaka kumuachia Mungu akaamua kufanya retaliation. Huenda ni kwa mwanaume wake au kwa co-workers wenzake.

Alipangiwa Revenge mission kabisa na inaonesha mtu aliyetekeleza hilo alikuwa anamjua kabisa na kashasoma mazingira ya kwao so akaamua kuwapanga wajuba.

Ukiangalia psychologically aspects mzee wake kumuita binti yake kuwa alikuwa mpambanaji has a lot to do na tabia zake. Wanawake wengi wapambanaji wana ile aptitude ya "Getting it regardless" na "Wacha iwe mbaya tu" which means in case I we kwenye maslahi atahakikisha anagrab benefits zote pekeyake na kama atashindwa basi ataharibu. Hii spirit iko kwa watoto wengi wa kichaga.
Ni mchaga na yeye??
 
Kiintelenjensia.
Hakuna muhalifu yeyeto Smart ni lazima ataacha tu alama pa kuanzia. Watu wakiingia mitamboni mbona sekunde tu wauaji udakwa chapu.

Hapo pa kuanzia ni sehemu mbili tu ishu ya mapenzi au kazini. Tap call zake zote kuanzia siku ya tukio rudi nyuma hata miezi 3 ukizisikiliza zitakupa starting point na lazima utampata tu muuaji.

Ipo hivi, Kabla ya mauaji huwa ni lazima mawasiliano ya simu uwepo yakiwa na nia ya urafiki na sio hitimisho la mauaji, mauaji huja baada ya kushindwa kufikiana kwa muafaka. Kosa kubwa la wauaji ushindwa kutambua back walitumia simu kuongea.
KWA hili unaweza tumia
1.Technologia ya mawasiliano kupitia call recording
2.White magic pia ukupa picha ya tukio zima.

Ukimsikiliza baba yake anaongea codes ni kama kuna kitu anakihisia ambacho kina uelekeo wa ukweli sababu alikuwa karibu na binti yake kuna mambo alishea nae thus hakutaka kufunguka sana.

Kifupi hakuna muhalifu smart popote duniani hata awe na akili au ujanja vipi ni lazima ataacha shaka. Technology na white magic haziongopi. Labda tu wahanga waamue tu kumuachia Mungu , KARMA
White magic inatumikaje kumnasa mhalifu? Toa elimu embu
 
Mshana jr tayari umewapa vyombo vya ulinzi na usalama pa kuanzia.

Uzi huu ubaki hapa hapa mpaka tupate mrejesho nani alihusika na tukio hili maana linaumiza sana. Kongole Mshana jr kwa chapisho lako linalotutoa tongongotongo tusio na uwezo wa fikra pevu.
Shukrani brother
 
Back
Top Bottom