Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 15,485
- 33,408
Mbona karate mpaka china wanasoma tena yapo mashindano ya kimataifa.
Nimejifunza karate chuoni ila ni marufuku kupigana mtaani yaani ukikutwa umepigana basi unafukuza ,tulienda mpaka kenya miaka ya 2000's kushindana tena mfumo wa Taekwondo..
Chuo pale ulipigana tu mtaani unafukuzwa ,washafukuzwa watu wengi hapa jamaa zangu wana mikanda na wamepata kipato wamefika mpaka china ila ni wapole maana ni sehemu ya mazoezi.
Karate ni mchezo kama boxing ,kule zenji wakifungia kuona ni mchezo hatari ila baadae walikuja kufungua .
China kuna vyuo kiboa hata ukiona wale wakubwa wao kama mashaolin ,wanapinga watu kupigana wapo peace sana ila wanafundishwa karate kwa sana.