Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Ngosha...
YMCA Dar es Salaam walikuwa na mafunzo ya karate na vijana wengi walihitimu pale na kuipata mikanda.

Nadhani na Don Bosco walikuwa na mafunzo kama hayo.

Mimi siwezi kuandika kama ulivyoandika wewe kuwa walikuwa wanataka kumpiga nani?

Kujifunza karate sio kosa ila kujifunza kimaficho huku mafunzo hayo kuambatana na mafunzo ya misimamo mikali na udini ndipo tatizo linapoanza
 
Hata ukiniblock hakuna la maana unalonisaidia hadi niumie kwa block yako.

Mm n Mkristo nako pia kuna upuuzi wake ila upuuzi wa Kiislamu ni mkubwa zaidi.
Sasa km upo mentally matured ungehangaika kuondoa au kukemea madhaifu ya imani yako siyo kukandia ya wenzio ungefanya hivyo unge balance mzani. After all mimi nimesema huwa sipendi ku argue na mtu dizaini yako, nadhani tuishie hapa.
 
Ndani kuna gym moja matata kwa ajili ya watoto. Na watoto wanasema walikuwa wanafanya mazoezi ya hatari. Mwenye kituo anaongea kwa kujiamini anasema hajui kosa lake. Watoto wanaacha shule nchi nzima, wanaenda kujichimbia kufanya hayo mazoezi magumu.
Eti ndio Wanapata ilimu

Aisee ni noma mno. Nasubiria waje kujitetea.
Wakija kupiga pepa necta wanasema serikali inawafelisha.
 
Karate ina shida gani! Na hizo imani au sijui siasa kali ndiyo zipi? Nchi ina udini hii watangaze tu kama nchi ni ya kikristo kama Zambia kuliko kuwafanyia visa Waislamu kila siku halafu nawashangaa sana viongozi waislamu wanavyokaa kimya kama mazuzu!
Mmojawapo wa itikadi Kali huyu uku
 
Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.

Swali muhimu: mfadhili/hi ni akina nani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ficha ujinga wako, kuna mtu anaweza teka nchi kwa kupigana karate?
 
WHY MUSLIMS, WHY, WHY????
Pwani, Muslims
Dodoma, Muslims
Imepelekea Hadi huku Pwani imekua Kanda maalum because of Muslims.
Majini wao. Kufuga wasichana wao. Waislamu mna shida gani?
Au Kuna kitu mnakijua sie hatukijui.???
Tanga nako kipo chuo Cha bure wanachotuharibia vijana wetu taifa la kesho.
 
Ndani kuna gym moja matata kwa ajili ya watoto. Na watoto wanasema walikuwa wanafanya mazoezi ya hatari. Mwenye kituo anaongea kwa kujiamini anasema hajui kosa lake. Watoto wanaacha shule nchi nzima, wanaenda kujichimbia kufanya hayo mazoezi magumu.
Eti ndio Wanapata ilimu

Aisee ni noma mno. Nasubiria waje kujitetea.
iko wapi vidio nami babu njunju nipate kuona na kucheka
 
Tuweke udini pembeni

Je Watanzania hawapaswi kujifunza karate na judo? Je mbinu za kujilinda ni kinyume na sheria za nchi? Hizi tahariko tunazobabatizwa nazo kila mara kwa jina la ulinzi na usalama, kwa nini serikali isipeleke mamluki wake hapo nao wakajifunza hayo mafunzo ili kuyachuja kama ni hatari kwa jamii? Naona badala yake ni hizi Kamati za Ulinzi na Usalama zimejikita kwenye kupambania taharuki kuliko kutumia weledi na akili kudeal na haya mambo
Chuo hakijasajiliwa.

Chuo kinaenda kinyume na sheria za nchi na kukiuka haki za watoto kama vile kupata elimu rasmi.

Chuo kinafundisha "itikadi kali". Hatuna mipango hiyo, hili taifa ni secular na litabaki hivyo, hatuna haja ya kumchinja mkristo wala muislamu kisa sio wa dini mojawapo.

Hata ukisema ktk Quran kuna kila kitu kama mnavyosema

Geography,Physics,Chemistry,Mathematics lakini hakuna formula humo. Tutatengeneza taifa la wajinga,ingawa mpaka sasa ni taifa lenye upumbavu mwingi.

Iran, Iraq, Saudi kote wanafundisha science wanawajua kina Isaac Newton,Nichola Tesla na formula zao, na wanazitumia. Huko chuo/kituo wamekazana kuponda mifumo ya elimu na kuiita mifumo kristo.
 
Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku.

Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na mapigano (Karate na judo)

Mkuu wa Wilaya ha Longido amefanya hilo leo baada ya kamati ya usalama kupata taarifa juu ya mafunzo yanayofanywa kwenye chuo hiko kisichosajiliwa.

Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.
Hii nchi ishagawanywa vipande vipande hainganiki tena.

Wakati watu wa imani moja wakiruhusiwa tuishi na mvulana na msichana bila ya kufunga ndoa, wanaume wawili wapenda kupata baraka za kanisa, kutokea ushoga, pombe ikiwa ni sehemu ya maisha yao matendo haya yote yataonekana ni ya kawaida ingawa yanamchukiza Mungu wa kweli.

Kwa upande wa pili: kwa imani yao wanawakusanya mabinti wasome imani yao, vijana wasome imani yao na pia waimarishe miili yao iwe na ukakamavu na afya. Mambo haya hakuna sheria waliovunja. Na hata kama wamevunja mahakama ndio iliyopaswa kuhukumu.

Sasa unankuta kijana kakabidhiwa ofisi ya umma huku kiuno chake keshavunjwa, ahavaa pempa anakuja kufunga jengo la ibada bila kutaja kifungu gn cha katiba kinevunjwa.

Wakati wako viongozi wa dini wanesomea mafunzo ya jeshi.

Lkn haionekani ni tishio kwa kuwa ni wa imani ile ya kuruhusu ushetani.

[2/14, 1:40 AM] Mo: Jambo kubwa lililopamba mahafali ya 15 ya Chuo Kikuu Ardhi (ARU) yaliyofanyika juzi, ni uwepo wa mhitimu wa Shahada ya Uzamivu, ambaye ni padri aliyepitia pia mafunzo ya kijeshi.
[2/14, 1:40 AM] Mo: Padri alivyopata mafunzo ya kijeshi nchini Cuba, Kenya

Kuna haja ya kuunga mkono chadema na sera take ya majimbo iwapo itaboreshwa.

Ili kuendeleza amani ya taifa hili ni muhimu kupigania mabadiliko ya mfumo wa utawala.

Kutoka mfumo wa serikali kuu na kuwa utawala wa serikali za majimbo yenye uhuru kamili wa kujiamulia mambo yake wenyewe.

Ili huu udhalilisha wa kimkakati wa imani dhidi ya wengine usiwepo.

Watu wa mwambao tumeuchoka ushamba wa watanganyika.
 
Back
Top Bottom