AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,284
- 4,019
Wana chukua namba hao
Wana chukua namba haoView attachment 1493273
Ahsante japo kishingo upande ila ndio hivyo.Hongereni Kwa kuwa mabingwa kwa mara ya kwanza
Ahsante japo kishingo upande ila ndio hivyo.
Mwandiko wa kiume huu mkuu.Imetoka moyoni bi dada.
This is quite true. El capitano!!!
Huyu jamaa next season atawaka, atakuja na effort yote.Man City vs Liverpool: Pep Guardiola confirms guard of honour for champions
Watch Manchester City vs Liverpool live on Sky Sports Premier League on Thursday from 8pm; Kick-off at 8:15pm
By PA Media
Last Updated: 28/06/20 12:59pm
Pep Guardiola says Liverpool deserve their guard of honour from Man City
Pep Guardiola says Manchester City will form a guard of honour for new Premier League champions Liverpool when the sides meet on Thursday.
Hongereni Kwa kuwa mabingwa kwa mara ya kwanza
Asante mkuu, ulipotea sana.
Nadhani ulikuwa kwenye kamati za kufuta zile mara 18 tulizochukua kipindi cha nyuma.
Ha ha ha mambo ya kale sisi hatutaki tunaijua EPL tu.
Ni majukumu tu ya hapa na pale ila nimerejea sasa
Na Ighalo atakuwa player of the yearSometime two or one player can change everything around iwapo tu umefanya usajili sahihi!
Na ndiyomana usajili wa VVD na ALISSON umebadilisha kila kitu ndani ya Liverpool mpaka leo hii tunaitwa Mabingwa.
Sambamba na Man City kama mutakumbuka Usajili wa Ederson na Laporte ndiyo uliyobadilisha kila kitu kwa Man City.
Na hili ninaliona pia kwa Manure! Usajili wa BRUNO FERNANDES tayari umeshabadilisha everything around.
Next season ikiwa tu Ole atazitumia Karata zake vizuri basi Manure atakuwa among title contender.
Adrian alisaini miaka miwili japo kuna timu zimeonyesha kumhitaji kwao Spain..Mbona hamu
Naona kila mwanakop anayependekeza usajili hapatilii maanani kabisa golini, ni kweli ni nadra sana golie kupata majeraha ila kama na msimu ujao tunaenda ucl bila backup ya Becker tujiandae kutolewa kwa aibu kama tulivyofanywa na ATM, sikupata usingzi siku 3 sababu ya Adrian, mpaka dakika ya 100 tunaongoza goal 2 kwa nyau halafu dakika 10 tu pazia linakuja kuruhusu goli 3 tena mashuti ya nje ya 18 kwa anfield ilizalilishwa pakubwa sana na hilo pazia.