02/07/2020.
IMG_20200702_134354_1.jpeg
 
Nimekuja kutoa pongezi kwa Liverpool kwa kutwaa Ubingwa wa EPL

Hakika mlistahili

Tunaomba mtuwahishie Zile add ons za Ox. Tunataka kuongezea kumchukua Partey kama usajiri wetu wa kwanza .



HONGERENI KOPITIES , HONGERA KWA JURGEN KLOPP

Mulituuzia kwa Add on kumbe?
 
Back
Top Bottom