Tunahitaji makipa wenye kiwango wa kumsaidia Becker in case kaumia au kapigwa kadi, aisee kutegemea hawa mapazia kama backup kisa unaukuta imara sio sahihi kabisa, gemu ya ATM beki yetu ilipambana dakika mia kumlinda Adrian, lkn pazia letu likaja likatumia dakika kumi kuharibu kazi iliyofanywa na beki kwa dakika miaAdrian alisaini miaka miwili japo kuna timu zimeonyesha kumhitaji kwao Spain..
Karius nae amerejea mazima...
Yupo ndogo mmoja kipa kutoka Uturuki Klopp alikua anamnyatia sasa itagemea kama Karius ataodoka ama Adrian...
Hivyo kwa dirisha hili sidhani kama kipa ni priority sana kwa Klopp...
Pazuri ni kwamba ukuta kuna uwezekano ukaimarishwa aisee maana kua na mapancha watu in Gomez, Matip na Lovren ni jipu ndugu... Hapo Lovren ndio major culprit he is addicted and prone to costly mistakes...
YNWA

