Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,315
- 7,113
Klopp kamwaga kikosi kama choteeee! BHA watajibeba leo sisi hatumo! We are aiming 3 points period!
Klopp kamwaga kikosi kama choteeee! BHA watajibeba leo sisi hatumo! We are aiming 3 points period!
Baadae utakimbia wewe,tunashinda leo mechi iko wazi kabisa hiyo
Mkuu, Sir Kenny is a member of LFC Body of Directors.Uyo Dalglish anafundisha timu gan sasa? Ata apo Liverpool Si alifeli?
Uyo Gerrard labda aje afundishe Maji maji ya songea au nangwanda sijaona hana ata hadhi ya kufundisha mtiba shugwa ya Moro
Je ni kwanini leo liver atapigwa?
Oya wakuu watu kama hawa wakija hapa jukwaani kwetuLeo liver anachezea kibano
Kwahiyo ni zambi kutoa maon yanayoihusu liver?Oya wakuu watu kama hawa wakija hapa jukwaani kwetu
Tusiwajibu tuwe tunakaa kimya.. This people are psychos
Unajua kujibishana na mavichaa ni upumbavu
Let us respect ourselves
... Ynwa
Tunaruhusu kona nyingi sana
1st half tunaongoza,vp una la kusema tena?Hamtaamini. Subirini mziki
Nakosa hata cha kukwambia.
Ila wewe una upenz maandazi, kumdharau mtu kama gerrard ni dharau kubwa mnoo katika ulimwengu wa soka, bila shaka wewe ni shabiki wa chelsea kwa jinsi ulivyomlenga didier drogba.
sasa Napoli wewe umemfunga?Napoli alimfunga RB Salzburg nyumbani kwake.
LFC kwenye European games ambazo ni decisive kama hizi huwa hafanyagi makosa hata akiwa na timu mbovu vipi...fuatilia!
Oya wakuu watu kama hawa wakija hapa jukwaani kwetu
Tusiwajibu tuwe tunakaa kimya.. This people are psychos
Unajua kujibishana na mavichaa ni upumbavu
Let us respect ourselves
... Ynwa