Wababe wa kupindua meza unawajua? Kawaulize Bayern Munich!Liverpool game za mwisho mnachechea tu, crystal palec kawatoa udenda napoli kawaingilia vibaya
Sasa naona mnajipangia matokeo kwa hawa wendawazimu sulzburg ambao wanataka kuingia 16 ,
Halland ataua mtu
Ukisoma makala aliyoielezea UCL final 2005 unaona huyu ni binadamu na nusu.Steve G was and will always be captain fantastic ooh what a soldier we had and very lucky to have the chance of seeing this amazing fellow produce fabulous goals in his career...
Man his thunderstrike in FA Cup vs West ham, the 2005 UCL comeback, and so so so many more he produced and motivated his fellow players to give their all...its used to be Steve and his red army ooh how we miss such a character in our current Captain lol kazi ipo
HahaaaaaaaaaSikuhizi kumeibuka washabiki wa kiajabuajabu wanazunguka kila jukwaa kuandika ujinga tu.
Wao huwaoni kuandika kitu ambacho kinamake sense bali ni pumba tu.
Even some LFC fanboys wanaranda Nyuzi nyengine kuandika Pumba tu jambo ambalo sio utamaduni wa Kopites.
Kabla ya this Awamu (Magufuli era) sikuwahi kuwaona Kopites waliotutangulia Kuwa na Tabia ya kurabdaranda nyuzi za majirani kuandika Pumba.
But kwenye this Magufuli era wamekuwa wakisambaza huzi Pumba.
Nimerudi mkuu ,Jamaa alitaka tukimbie jfBila shaka mkuu Aoron Arsenal ataanza kuonekana jamvini baada ya Mla kachori kutimuliwa Leo Ganaz ...
Hii kazi apewe Steve G awapaishe
Mind your own business bro,Sikuhizi kumeibuka washabiki wa kiajabuajabu wanazunguka kila jukwaa kuandika ujinga tu.
Wao huwaoni kuandika kitu ambacho kinamake sense bali ni pumba tu.
Even some LFC fanboys wanaranda Nyuzi nyengine kuandika Pumba tu jambo ambalo sio utamaduni wa Kopites.
Kabla ya this Awamu (Magufuli era) sikuwahi kuwaona Kopites waliotutangulia Kuwa na Tabia ya kurabdaranda nyuzi za majirani kuandika Pumba.
But kwenye this Magufuli era wamekuwa wakisambaza huzi Pumba.
Mind your own business bro,
Hakuna binadamu wa kukufurahisha wew muda wote
Who are you by the way?,
Asee sale watoto hawashindi goli moja tu au mbili ..ni wanapiga balaa..Wamejichokea? Kwani Bayern anatoka ligi gani na Salzburg anatokea ligi gani? Kama tunaweza piga bingwa wa ligi inayoeleweka tutashindwa piga bingwa wa ligi sawa na ligi ya south?
Kuna mchezaji yeyote legend wa Liverpool aliwahi kuwa kocha akafanikiwa?Bila shaka mkuu Aoron Arsenal ataanza kuonekana jamvini baada ya Mla kachori kutimuliwa Leo Ganaz ...
Hii kazi apewe Steve G awapaishe
Kuna mchezaji yeyote legend wa Liverpool aliwahi kuwa kocha akafanikiwa?
Hahaha Gerrard moja ya kiungo mzembe mzembe iv kuwahi kutokea ..ukiachana na iyo ya Demba Ba kuna ile alimpasia King Didier ikawa bonge la assist aise ...Gerrard alikuwa mtu na nusu, ni furaha kumtizama uwanjani, mpambanaji, muhamasishaji. Nilijisikia vibaya mnoo siku aliyoteleza demba ba anaenda kuweka msumali.

Umekaa zako uko ushashiba maharage unaanza kuandika ushuzi. Ulikuwepo wakati anasema? (Jokes bana)Baada ya stevie G kuongea benitez akatoa inspiration team work hapo na tactical changes wakarudi dimbani mpka leo ni miracle of Instanbul...
“Early on everyone was talking, trying to help each other out and ask each other why we were so bad in the first half and why Kaka was causing us so many problems,” Gerrard said.
“It was probably because we only had two [midfielders] in there – me and Xabi [Alonso] – and they had a diamond so we were outnumbered in there.
“There was a lot of noise early on but Rafa came in there and calmed us all down and gave us that inspirational team talk which helped us to go on and get back in the game.”
Gerrard added: “Didi [Hamman] coming on was key … [he was] that security for the team and that allowed the attacking players to go on and create and score goals".

Uyo Dalglish anafundisha timu gan sasa? Ata apo Liverpool Si alifeli?Sir King Kenny Dalglish
Learn History boy
Stive G are on his way

Dont qoute me ..who are u ???'Who am I?' Do u wanna know who the fvck I am? Really?
Fine! I'm who I am
But you should learn how to shut your fucking mouth
Not necessary to reply every 'quote' especially mine coz can't give a shit kwenye your foolish quotes.
Do me a favour Buddy, "DO NOT QUOTE ME".
Pain killer nini shida mkuuDont qoute me ..who are u ???
Just start your forum and a will note qoute u
Ugumu was maisha unachangia mkuuSikuhizi kumeibuka washabiki wa kiajabuajabu wanazunguka kila jukwaa kuandika ujinga tu.