Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 7,990
- 13,645
Punguza hasira. Japo kweli hii game kaonyesha uchoyo dhahiri, lakini ataelekezwa na watakutanishwa na mane na mambo yatakuwa poa.Huyu Salah anatakiwa akalie Benchi, anaivuruga Timu
Ajiandae kuvurumishiwa madongo kwenye social media.