Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Matokeo yetu kwa Ujumla katika mwezi huu wa August

Friday 9

Liverpool 4 - 1 Norwich City

Saturday 17
Southampton 1 - 2 Liverpool

Saturday 24
Liverpool 3 – 2 Arsenal

Saturday 31
Burnley 0 - 3 Liverpool

Tumevuma Jumla ya:-

√ Win 12 out of 12
√ Lose 0
√ Points 12
√ Tumescore 12
√ Tumeconcede 4
√ GD 8

1. First Place
 
Hata kama Salah ni selfish lakini hakuna kocha mwenye akili atakaemueka bench Salah.
Muhimu Salah abadilike tu, na hayo yote ni kocha ndiyo anapaswa akae nae aongee naye kuwa mpira ni Teamwork
Mimi napingana na ewew...huyo klopp anaendelea kumpanga huyo Salah sababu hakuna mbadala wa uhakika lakn sio kocha yyt anashindwa kumueka benchi...maana hata Henderson no klopp tu lkn angekuwa guadiora angekaa bench.
 
Here how the Boys perfomed at Turf moor

1)Liverpool: Adrian (7)
2) Alexander-Arnold (7)
3)Matip (6)
4)Van Dijk (8)
5)Robertson (7)
6) Fabinho (7)
7) Henderson (7)
8)Wijnaldum (6)
9) Salah (7),
10)Firmino (8)
11)Mane (7)

Subs: Oxlade-Chamberlain (6),
Origi (6),
Shaqiri (6).

Man of the Match - Roberto Firmino
Firmino has started the season in brilliant form and he deserved his goal at the end. By that point, he had already set up Mane for the goal that doubled the lead and he was the man who played the pass through to Salah in the build-up to his own third goal. With that strike, Firmino became the first Brazilian player to score 50 Premier League goals.

Sky sports

Hapo kwa Matip kumrate 6 napingana kwa Big No na natamka kuwa rates hizo ni Invalid
 
Nilikuwa namtetea Salah, ila kiukweli huyu Mwarabu leo kazingua
ukiangilia assist anazotoaga Messi ndio utajua huyu ndogo mwarabu bado sana...na naamini angekua anatoa assist hata magoli angekua nayo mengi maana huo ubinfsi huleta mpasuko na mgomo baridi uwanjani kwa wahusika hopefuly Klopp hili swala kwenye notes zake za leo ataligusia...
 
Na kama ume observe vzr Bobby na Mane ndo wanaamiana vibaya mno wanapokuwa na mpira
ukiangilia assist anazotoaga Messi ndio utajua huyu ndogo mwarabu bado sana...na naamini angekua anatoa assist hata magoli angekua nayo mengi maana huo ubinfsi huleta mpasuko na mgomo baridi uwanjani kwa wahusika hopefuly Klopp hili swala kwenye notes zake za leo ataligusia...
 
Mimi napingana na ewew...huyo klopp anaendelea kumpanga huyo Salah sababu hakuna mbadala wa uhakika lakn sio kocha yyt anashindwa kumueka benchi...maana hata Henderson no klopp tu lkn angekuwa guadiora angekaa bench.

Juu ya kuwa Salah kaonesha ubinafsi!! Lakini kwa Mantiki hiyo hata VVD akipata mbadala (Aliyemzidi) anaweza kuekwa benchi.

The same kwa Messi, Ronaldo na Neymar wakipatikana Wabadala wanaowazidi watawaweka benchi.

Tuache chuki za kiajabuajabu hakuna Kocha anayeweza kumueka benchi Salah kwa timu yoyote ile duniani kwa sasa.

Hata Salah afanye ubinafsi lakini anayoyafanya uwanjani ni makubwa kuliko hayo unayoyaona ni Makosa.

Kama Salah si mchezaji bora kwa sasa ndani ya Liverpool hebu hao Liverpool wamueke Sokoni kwa £ hata 120m uone kama yatapita Massa 24 hajachukuliwa.

Salah hata akienda Mans City kwa Guardiola atacheza kila mechi labda aumie au aumwe
 
Hapo kwa Matip kumrate 6 napingana kwa Big No na natamka kuwa rates hizo ni Invalid
Adrian - 7
Comfortable for the Spaniard who was forced into action early doors from Chris Wood. Definitely settling in well after being thrown in at the deep end.

Trent Alexander-Arnold - 8

It may have gone down as a Chris Wood own goal in the end, but Alexander-Arnold’s inswinging deliveries were a real threat throughout the first half.

Won a few key duels against his tricky marker Dwight McNeil.

Virgil van Dijk - 8
Was never going to be given a moment’s peace against Ashley Barnes and Chris Wood.

“Calm as you like,” bellowed out from the away end and the travelling faithful were spot on.

Joel Matip - 8
Many expected Joe Gomez to take his place alongside Van Dijk at the turn of the new season, but Matip is more than proving he deserves to be a starter.

Andy Robertson - 7
A quiet afternoon from the usually relentless left-back. Burnley defended deep which prohibited the Scot from bombing forward, still an outlet.

Fabinho - 8
His bandy legs were just about everywhere, nipping in before the opposition and retaining the ball. Made his presence count from the get-go.

Jordan Henderson - 7
The kind of experienced display that Liverpool are going to need over the course of 38 games. Took a nasty whack on the thigh and was forced off on the 70 minute mark.

Gini Wijnaldum - 8
He might not receive any of the headlines, but quietly he was very effective in breaking up play and turning defence into attack.

Mohamed Salah - 7
A quiet afternoon on the basis of his high standards. Rattled the post in the first half with a clever, early effort. Did provide the assist for Firmino.

Sadio Mane - 8
Somehow improving week on week. Lovely finish for his goal, showing confidence by deciding to hit it first time. Constant threat, superb close control.

Roberto Firmino - 9 (MOM)
Another exceptional display from the Brazilian who worked tirelessly to pull the Burnley backline out of joint. Perfectly timed and weighted pass to set up Mane for the second. His efforts were rewarded with a fine goal from outside the box ten minutes from time.

Subs
Alex Oxlade-Chamberlain - 7
Got a vital touch to break up a Burnley counter-attack. Tested the palms of Nick Pope with a well-struck drive.

Xherdan Shaqiri - N/A
Divock Origi - N/A

The Express
 
Mimi napingana na ewew...huyo klopp anaendelea kumpanga huyo Salah sababu hakuna mbadala wa uhakika lakn sio kocha yyt anashindwa kumueka benchi...maana hata Henderson no klopp tu lkn angekuwa guadiora angekaa bench.

Halafu usimfananishe Henderson na Salah hapo itakuwa ni Sawa na Kunifananisha Mimi na Bakhress
 
Juu ya kuwa Salah kaonesha ubinafsi!! Lakini kwa Mantiki hiyo hata VVD akipata mbadala (Aliyemzidi) anaweza kuekwa benchi.

The same kwa Messi, Ronaldo na Neymar wakipatikana Wabadala wanaowazidi watawaweka benchi.

Tuache chuki za kiajabuajabu hakuna Kocha anayeweza kumueka benchi Salah kwa timu yoyote ile duniani kwa sasa.

Hata Salah afanye ubinafsi lakini anayoyafanya uwanjani ni makubwa kuliko hayo unayoyaona ni Makosa.

Kama Salah si mchezaji bora kwa sasa ndani ya Liverpool hebu hao Liverpool wamueke Sokoni kwa £ hata 120m uone kama yatapita Massa 24 hajachukuliwa.

Salah hata akienda Mans City kwa Guardiola atacheza kila mechi labda aumie au aumwe
upo sahihi ndugu ishu hapa sio ubora wake mbali collective responsibilties awepo uwanjani esp pale ambapo tunahitaji to kill the game..leo hata Klopp mwenyewe aking'aka baada ya Salah huyu kufanya maamuzi ya kujifikilia yeye zaid ya timu...

Mane is fresh and blood kuonyesha frustration kama zile ruksa...hata Aguero kama mechi msimu huu aling'aka baada ya kupewa sub huku akiona anayo nguvu kuedelea lakini akatolewa...

tunachosema ni Salah awe anawafikilia na wengine inapotokea nafasi ya wazi ya kutoa pasi murwa kama leo...
 
Mane furious...
But despite the convincing victory, there was a sour ending to proceedings after Sadio Mane vented his frustration after being subbed.

He was not unhappy with Jurgen Klopp though. Minutes prior to being replaced, Mohamed Salah had a shot when Mane was standing in acres of space.

That left the Senegal international furious, as it wasn’t the first during the match that Salah had opted to shoot.

as he walked off the field, he was shouting furiously, waving his thumb backwards towards the pitch hinting it was Salah he was angry with.

Mane then took his place on the bench and had to be calmed down by James Milner and Joe Gomez
 
IMG_6238.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom