Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Juu ya kuwa Salah kaonesha ubinafsi!! Lakini kwa Mantiki hiyo hata VVD akipata mbadala (Aliyemzidi) anaweza kuekwa benchi.

The same kwa Messi, Ronaldo na Neymar wakipatikana Wabadala wanaowazidi watawaweka benchi.

Tuache chuki za kiajabuajabu hakuna Kocha anayeweza kumueka benchi Salah kwa timu yoyote ile duniani kwa sasa.

Hata Salah afanye ubinafsi lakini anayoyafanya uwanjani ni makubwa kuliko hayo unayoyaona ni Makosa.

Kama Salah si mchezaji bora kwa sasa ndani ya Liverpool hebu hao Liverpool wamueke Sokoni kwa £ hata 120m uone kama yatapita Massa 24 hajachukuliwa.

Salah hata akienda Mans City kwa Guardiola atacheza kila mechi labda aumie au aumwe
Ndio hivyo Kama VVD akiwa na mtu wa Kariba yake ni lazima akae benchi akizingua...

Unatoa mifano mingi ila nilichokwambia ni kua Salah angekuwa na mtu wa Kariba yake kwenye timu yetu naamin angekaa benchi an usiseme eti kocha yyt duniani hawezi kumueka Salah benchi...na Wala sitak kurud katka historia ya Salah ila kwa kwetu Liverpool kajitahid kufanya mazur ila sio kigezo Cha kusema hawezi kuwekwa benchi Kama timu Ina wachezaji wa uhakika...

Nb:mapenzi yasikufanye usione uhalisia chief.
 
Guadiora alikuwa anamuacha aguero nje anampa nafasi Jesus...unasemaje angeshindwa kumpumzisha Salah Kama Ana mtu wa uhakika!!??Guadiora Ana uthubutu ambao klopp Hana na huo ndio ukweli mchungu...plus sisi kwa hapo mbele hatuna mbadala wa uhakika ndio maana huyo Salah anafanya uhanithi
 
Eti Auzwe Salah anaiharibu timu!
Ndiyo Nyinyi Mutakaokuja Hapa kulialia Klopp kamuuza Salah.

Manure walikuwa wakimponda Lukaku wakiamimi akiuzwa kuna Martial na Rashford! Sasahivi wanalia na Ole kwanini kamuuza Lukaku.

Sasahivi kuna Wengine wanapiga Kelele eti auzwe Pogba hana msaada kwenye Timu, Sasa hawa hawana tofauti na hawa wanaosema Salah aondoke.

Baadae waje hapa kulialia.
 
Kuna watu wanashindwa kufahamu kile anacho-offer Salah uwanjani ni nini Bali wanaangalia tu kwanini hakumpa pasi Mane!

Hivi unadhani Timu zikicheza na Liverpool wanakuwa Concerned na Bobby au Mane?
Tumeshawahi kucheza game Mabeki wakawa Man marking na Bobby au Mane?

Timu yoyote tunapoingia uwanjani basi wanayemuangalia kama ni Threat ni Salah! Sasa mchezaji kama huyu anayeteka Tenshen za watu juu Yake na wengine wakapata nafasi unasema aondoshwe au aekwe bench kisa tu alikuwa Selfish?

Watu wanasahau kuwa hayo Magoli wanayofunga Kina Mane na Bobby nusu Yake yanatokana na Mchango wa Salah.
 
Nakubali Salah kafanya Ubinafsi lakini si sababu ya kuwa eti Auzwe au awekwe Bench! Huo utakuwa ni uzwazwa kabisa.

Mtu ana Magoli 3 na Assists 2 katika michezo 4 ya EPL unasema auzwe au aekwe bench kisa tu hakumpa pasi kipenzi chenu Mane? Hii ni too much sasa.

Tuwauzie basi Real au Man City
 
Wacha Kocha na Captain wamfahamishe jinsi ya kucheza kwa ushirikiano na wenzake lakini si kufanya maamuzi kupitia reactions za Mane.

Salah is nothing na Mane is nothing too linapokuja suala la Liverpool.

Klopp ni professional hawezi kufanya maamuzi kwasababu ya reaction za Mane.
 
Kilichobakia tusubiri mwisho wa msimu tuangalie tumevuna nini!

Mane ni Muhimu kwenye Timu kwa nafasi Yake
Na Salah ni mihimu kwenye timu kwa nafasi Yake

Tukisema Salah si Mkubwa kuliko Timu
Pia Tusisahau kusema na Mame si Mkubwa kuliko Timu, Kwahiyo tukisema Salah auzwe au aekwe bench kwa Sababu Mane kanuna! Tujiulize Mane ni Kama nani kwenye Timu?

Wote ni sawa tu
 
Ukweli ni Kwamba alichochukia Mane si kwasababu ya Salah bali Mane kachukia kwa Sababu ya Kufanyiwa Sub! Na si Mara ya Kwanza Mane kuchukia akifanyiwa Sub! Tumeshamuona Mara nyingi tu lakini Watu wamekuwa na Double standard.
 
Mwenye Timu ameshasema hivi, Wenye JF wacha waseme Salah auzwe au aekwe Bench.

Klopp asked if he knew why Mane was upset, Klopp responded: “Yeah, I know!

“He was upset, that was obvious. Sadio cannot hide his emotions and I like that. But all sorted.

"We spoke about it and everything is fine. We are individuals, we are emotional.

"It was a situation in the game he wasn't happy about. That's completely fine.

“Would he do it (react) in exactly the same manner again? Probably not. But it happens.

“He didn't say any wrong words (to anyone), it just looked a little bit different to how he looks usually.”

Klopp added: “For me, it's just a little story. Thank God we are away for a week so if you write something about it we won't read it anyway.

“And in a week nobody will remember it anyway.

"It's a cool moment for it to happen! But it's all fine.”
 
Ukweli ni kwamba mimi nakubaliana na huyu!

"Rival fans trying to blow this Mane and Salah thing up to deflect away from your own club’s problems on and off the pitch"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom