Kweli asee. Anachofanya Salah sio kizuri kwa afya ya timu. Naelewa sana Mane anavyojisikiaKuna vitu unaweza kuongea ukonekana humpendi mchezaji ila Salah anazingua Sana ...
Watu huwa wanatutukana ila Kuna siku tutaongea lugha moja maana hata wachezaji washaanza kuonesha hisia zao...
Wenzanke wanampa akiwa ktk nafasi,yy hataki kutoa pasi wenzake wafungeHu u selfishness wa Salah ipo siku tu utaigarimu timu kwenye sehemu muhimu.
anazingua sanaHata kama Salah ni selfish lakini hakuna kocha mwenye akili atakaemueka bench Salah.
Muhimu Salah abadilike tu, na hayo yote ni kocha ndiyo anapaswa akae nae aongee naye kuwa mpira ni Teamwork
Sijacheki gameSijengi picha Salah sijui ataingiaje Twitter kwa tunavomsubiri tumpige Madongo yani nipo online twitter nasubiri apost kitu tu! Lands apost kitu cha Kuapologized ndiyo inaweza kumpa nafuu