M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,020
watch us!Not exactly.
watch us!Not exactly.
Ila sio za kujiamini piaEasy draw.
Nice one.
Ila sio za kujiamini pia
Ila sio za kujiamini pia
I hope so manThats the nicest draw possible.
We can play Hendo/Lovren/Lallana/Moreno/Migs etc and win with ease.
Dont try to put pressure on yourself. Will be nothing but a statpad session.
A very nice draw.
We couldnt ask for more. Be happy.
fyi, hao unaowaita wa "makombe" ndiyo wanaomtafuta kwa udi na uvumba kwa sasa.Aende tu mpaka sasa hajatufaa kitu kwa maana nyingine angekua kwenye team za makombe keshafukuzwa kitambo tu
Mkuu hongeren kwa draw ya Leo, naona mmeshafika nusu fainal ,Wanaotaka kumtukana Klopp na wachezaji najua wameumia sana na draw hii!
Liverpoool feki hadi mimacho itawavimba mwaka huu!
Liverpoool HALISI hapa tuzidi shikamana tuwaache hao wanao ombea hadi wachezaji wetu waumie,
Feki Liverpoool hawana hamu tena
Sent from my iPhone using JamiiForums
Muappreciate klopp Leo liver inacheza nusu fainal ya pil UCL , wakat liver ilishapotea , cha muhimu abadilike ktk maamuz hasa upangaj wa midfield anabeba EPL au UCL ,Aende tu mpaka sasa hajatufaa kitu kwa maana nyingine angekua kwenye team za makombe keshafukuzwa kitambo tu
I hope so man
another stat padding session for lallana and mates
Just like how gini wrapped them last year
Nitamkubali akileta kombe tu sio fainali hiyo nafasi ya 2 ligi hata Rogers alifika tena na wachezaji wa bei rahisi huyu ana wacheza walionea hafu tuishie fainala nimsifieMuappreciate klopp Leo liver inacheza nusu fainal ya pil UCL , wakat liver ilishapotea , cha muhimu abadilike ktk maamuz hasa upangaj wa midfield anabeba EPL au UCL ,
Mpaka sasa amebakiza mkia kuweza kuwaletea taji hapo an field, hivo msimbeze sana kumbuka alipoitoa liver
Sent using Jamii Forums mobile app
Think Ajax will continue to suprise people.
Ni dark horses kama tulivyokuwa sisi last season.
Kitu sijawahi kuelewa hapa ni nini maana ya "Liverpool halisi" na hao ambao sio halisi ni wapi?
Nakumbuka kuna siku niliwahi kuandika kuea tukubali kutokubaliana. In the end ni opinions tu ambazo hata hivyo haziwezi kumbadilisha kocha au mchezaji.
We just talk football, we are different. Tuna macho tofauti ya ku observe mambo na upeo wa kufikiria pia tunatofautiana. Tukikubali haya wala hakuna haja ya kuendeleza hay mambo.
In the end Liverpool FC is a family. We are all family. We should stand together no matter what. Tukigawanyika sisi kwa sisi na wapinzani nao watuvuruge sidhani kama ni kitu healthy.
YNWA
Depth huwa zinatengenezwa na makocha Gaudiola aliacha depth Bayen sasa hivi ipo?fyi, hao unaowaita wa "makombe" ndiyo wanaomtafuta kwa udi na uvumba kwa sasa.
Klopp angekuwa na depth kama zile walizonazo ManCity, Manure, Juventus - kusingekuwepo wa kumstopisha aisee!
after all, ikumbukwe kuwa yeye alisema anahitaji 4 seasons kutuletea EPL.... that's 2019/20.
so, be patient and for now continue believing. ikifika May 2020 hajatuletea kitu, nitaungana nawe mkuu!
Hahaha no si catch feelings bro ila as far i am concerned sidhani kama ni vizuri tukagawanyika kati yetu eti kisa ni opinions tu tumetofautiana. No we should remain a fam regardless of our opinionsLol
Nini tena my man?
Hii essay umeandika kwa hisia sana hahahha
I’ve put the guy uliye-mquote in my ignore list, so i dont see his posts.
You must be so annoyed mpaka ukaandika hii essay.
Here is my advice, jamaa anafikiria anachofanya ni right thing to do for his club, so na wewe fanya unachodhani ni right thing to do for your Club. Its that simple.
High time we win something. Trust me it will become a watershed. We will dominate them for a good number of years. We will have the muscle to do so.Dont know what will happen in the Semis.
But reaching the semis kwa mara ya pili mfululizo kwenye CL ni mafanikio makubwa sana kwa Club.