Uzuri wa mpila unachezwa uwanjani dakika tisini na siyo mdomoni au kwenye keyboards.
Kama ingekuwa matokea yanapangwa kwa matakwa ya mashabiki wa timu Fulani basi hakuna timu ingefungwa duniani.maana mashabiki siku zote wanataka timu yao ishinde ..so hata nyinyi mashabiki wa humu ni hali yenu kusema Barca atapita maana hamuwezi kusema kinyume.
Ila hiyo mechi si rahisi kama m unavyodhani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa macho na akili za kawaida unaweza kuona kama Fc Porto ni timu ya kawaida! Fc Porto ni moja ya timu kubwa na bora ulaya. Ki uwezo uwanjani wapo sawa na liverpool. Kwangu nategemea game ngumu na yenye ushindani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nikikumbuka hat trick ya Mane pale kwa Porto last season I drink water & waitn for the semi with big smile
 
Nyie mashabiki wa luuzapuzi mnatakiwa kuwa nyuma ya Utd ili kwenye sem-final kama mtatoboa kwa porto atleast msihenye sn ingawaje mtapigwa km Utd akimtoa barca. Utd anaweza kumhimili barca, ila nyie mmh!..siku hio mtarudi hapa kazi kutukanana tu na kumtukana klopp na captain wenu!!

Utd huyu huyu aliepigwa na Bacelona wa UK aka Ganaz au Utd yupi...
 
Looking at records alone everyone will be hoping for that (Barca), but i think Barca poses more threat than Man United. On the other hand though we better get knocked out by Barca rather than United.

So i go for Barca in the semis.
Hapo sijui ntakuwa upande upi... Mahaba yangu kwa Barca, Liver na Simba naona yako sawa. Ee Mungu nisaidie...
 
Back
Top Bottom