Al assad
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,400
- 1,501
Haijalishi hautakiwi kudrop points au unatakiwa ila tambua unaenda OT na record zako unazijua katika uwanja ule ukija unapatwa na nini.hivyo basi majibu unayo mwenyewe!Manure anapigwa vizuri tu pale OT, tena na hivi Liver hatutakiwi kudrop tena point hata moja, ngoja siku hyo ataona mziki ulivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app