Ndugu usiwe na shaka tulihitaji ushindi kama wa jana turudishe makali yetu yaliyotufanya kuongoza ligi mpaka sasa....

kuhusu Manure na Chelsi hao wanapigika vizuri, cha msingi ni wewe ushinde mechi zako wakti tunakutengenezea njia uingie top 4...

Chelsi na Manu futuhi kutawafunga midomo yao..
unaota wewe sijui utaamka lini! OT looserpuuzi hatoki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwanini akili yangu inamuamini Sana sadio mane kuliko Salah yaani kutoka moyoni anapocheza mane ninakuwa na amani kuliko Salah japo wote wapo poa...Ila naonaga Kama sadio hapewi heshima anayostaili..

NB:Neno langu sio Sheria

Sent using Jamii Forums mobile app

Tofauti ya Mane na Salah ni Kuwa Mane ni Inconsistency...

Kwamfano kabla ya Kufunga kwenye hii michezo 4 Mane alikuwa kama Katokea Bongo.
 
Klopp update:

“Joe's surgery went pretty well. The timescale is always difficult but it's four to six weeks for a return to play. Hopefully that's the case. We work on that.”


Expected return:

March 2019
 
Klopp update:

Rhian Brewster

“Not as far as he wants to be. I saw him in the last hour, he was outside training and his running looks much better since he had another little surgery

“Our opinion about him will not change. We have to wait a little bit longer and sometimes that's how things are.”

Expected return:

July 2019
 
Klopp update:

AOC

“He is in a very good way. That will still take a couple of... last time I put a bit of pressure on the medical department.

“But when I see him moving the ball and what he's doing already it looks really good, promising, close to return.

“If he makes further steps like he did in the last few weeks he can play Premier League football this season which is nice to know.

“I think we will see him this season.”


Expected return:

April 2019
 
Back
Top Bottom